Yanga SC na Michuano ya CAFCL

Nabi amefurushwa? Unazungumzia mwaka jana au mwaka huu? Mbona timu yake mimi kwenye mashindano? Ina maana leo huoni kama mbinu za kocha zilifeli? Kuna sub pale zilitakiwa zifanyike
 
Pitia hii comment niliyotoa J4.

Hii sare inaipa Yanga wakati mgumu sana na hii ni kwa sababu atakuwa anategemea point za kufuzu katika mechi za mwisho kutoka kwa timu ambazo zina uzoefu na sifa kumzidi yeye.

Hivi unajua Simba akipata sare moja katika mechi mbili dhidi ya Wydad bado anakuwa na nafasi nzuri ya kufuzu wakati Yanga katika mechi mbili dhidi ya Medeama akitoka sare hata mechi moja nafasi yake ya kufuzu inakuwa finyu sana?
 
Mwaka Jana
Mwaka jana walikuwa na bahati tu. Ila mwaka huu kazi wanayo yaani watakuwa nafasi ya 4 mpaka mechi 6 ziishe.
 
5G sio mchezo!!
 
Kama al ahly ametoa sale na simba na sisi simba tumempiga 5 basi kosa kosa al ahly anakula 3 nje ndani
#Raha ya mwiko ilipokolea nyuma daima kurudi
 
Umesahau! Nabi alikuwa na mayele wakati gamondi ana mzize ambae mpira hautulii mguuni anajigonga gonga tu!
 
Uongozi ,team na kocha Kwa ujumla kashaambiwa lengo Ni makundi ,nyinyi mnapiga kelele mnataka kwenda wapi ..?
Kabisa mkuu, Yanga wameshatimiza lengo, haya mengine ni ziada tu.
 
🀣 dah, bilashaka ulimaanisha Simba Sc
 
Simba yenyewe, inatakiwa ijitahidi ivune walau point 4 kwa Wydad then watabakisha mechi mbili ambazo watazocheza mwakani, timu itakuwa imeshazizoea mbinu mpya za Coach
 
Simba yenyewe, inatakiwa ijitahidi ivune walau point 4 kwa Wydad then watabakisha mechi mbili ambazo watazocheza mwakani, timu itakuwa imeshazizoea mbinu mpya za Coach
Ndo maana nikasema sisi hata tukitoa sare leo sio tatizo saana kama yanga
 
Yanga na Simba kuna kitu kimoja huwa kina tutesa Sana kitu chenyewe hatuna namba 6 pure

Kwa mfano yanga yup mauja Tu tena hapati nafasi

Simba hayupo kbs
 
Yanga na Simba kuna kitu kimoja huwa kina tutesa Sana kitu chenyewe hatuna namba 6 pure

Kwa mfano yanga yup mauja Tu tena hapati nafasi

Simba hayupo kbs
Sure, Tunahangaika kupata wachezaji.
Lakini wachezaji wapo, kuna jamaa sijui anaitwa BABA wa Medeama Jana alicheza kiungo baadae akarudi beki 4. Yule n mtu sana
 
Kama hajawahi kushinda kwenye makundi aliingiaje?
 
Watu wanateseka sana, yaani miaka yote turingie kufika robo!!!! Yaani kama umeweza kufika robo kwa nini ushindwe kufika nusu na baadaye Fainali.

Kama Yanga wataishia makundi safari hii na mwakani wakaishia makundi tena, watastahili lawama zote.

Kwangu mimi timu ya simba inastahili kutuonyesha njia kufika nusu Fainali mpaka Fainali safari hii. Ikishindwa tena, maana yake ni moja tu. Timu mbovu isiyo na mwendelezo.
 
Timu yako ya wastaafu imeshinda mechi ngapi kwenye kundi la vibonde? Tuanzie hapo kwanza kabla atujaenda kuijadili yanga iliyopo kwenye kundi la magiant mabingwa wa ligi zao!
 
Mavi yakijaa kichwani usababisha ugonjwa usiojulikana, kwaiyo yanga aliruka na kuingia makundi bila kushinda? Uko sawa sawa kichwani wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…