Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kula chuma hii, cheki na wewe huu uandishi wako bora mimi typing error wewe kuchanganya R na L ni uzuzu wa kiwango cha hali ya juu.Uwe unaandika vizuri kwanza unajifanyia uhariri binafsi kwenye uandishi wako kabla hujapost.
(Najua lengo lako ni ku Provoke ufarahi kuona ID inatukanwa.
Id FAKE YA @CAPODELGADO haiogopi matusi, vitisho mbwembwe nk.
Ninampenda rafiki yangu TUKANA UONE ANASEMA.
Ikiwa hutaki tuchangie nenda kaandike sebuleni kwenu ili ndugu zako wakenue meno na kufurahia ujuha wako Mtu mfupi ,lakini kwa hapa jukwaani tu utaula wa chuya!.
Hapa tutakukaanga,tutakupakua na utaliwa utake usitake
"TUKANA UONE"
Mara ya mwisho simba aliwafunga lini na nyie mara ya mwisho kumfunga ni lini?Jumapili Simba anafungwa tu hata kianze kikosi cha 4 Simba anapigwa tu
Wewe Kenge nitakushughulikia jumla jumla..Uwe unaandika vizuri kwanza unajifanyia uhariri binafsi kwenye uandishi wako kabla hujapost.
(Najua lengo lako ni ku Provoke ufarahi kuona ID inatukanwa.
Id FAKE YA @CAPODELGADO haiogopi matusi, vitisho mbwembwe nk.
Ninampenda rafiki yangu TUKANA UONE ANASEMA.
Ikiwa hutaki tuchangie nenda kaandike sebuleni kwenu ili ndugu zako wakenue meno na kufurahia ujuha wako Mtu mfupi ,lakini kwa hapa jukwaani tu utaula wa chuya!.
Hapa tutakukaanga,tutakupakua na utaliwa utake usitake
"TUKANA UONE"
Jumapili mechi ikiisha uje uniulize swali kama hili sawa kiongoziMara ya mwisho simba aliwafunga lini na nyie mara ya mwisho kumfunga ni lini?
🤣🤣Wewe Kenge nitakushughulikia jumla jumla..
Kabla ya kuanza kusema makosa yangu jaribu kuhariri kazi zako kwanza .
Kula chuma hiyo chini 👇👇View attachment 2799797
Huyu CAPO DELGADO imebidi akimbie sasa comments zangu na anapita kama hazioni.
Jamaa nimeahidi kumshughulikia jumla jumla mpaka ateme uji , battle na watu nimepiga sana hapa Jf sasa na yeye kaingia kwenye mfumo rasmi simuachi mpaka aseme..
Safi sana mpigeeeeeeee🤣🤣🤣🤣Huyu CAPO DELGADO imebidi akimbie sasa comments zangu anapita kama hazioni.
Na nimemkamata katika uzi mwingine now baada ya kukimbia huu akifanya makosa kama aliyonituhumu.View attachment 2799854View attachment 2799855
Kwenye post hiyo juu kuna makosa zaidi ya 10 na sio typing error pekee bali mengi ni ya uzwazwa na ujuha.
CAPO DELGADO kula chuma hiyo chini 👇👇View attachment 2799856
Kabisa jamaa ni mkorofi sana mpigeeeeeeee spana🤣🤣Jamaa nimeahidi kumshughulikia jumla jumla mpaka ateme uji , battle na watu nimepiga sana hapa Jf sasa na yeye kaingia kwenye mfumo rasmi simuachi mpaka aseme..
Kuna chuma nyingine nyeti za kimaadili nimehizifadhi ili kumlipua wakati muhimu hapo zingatia neno wakati muhimu .
Hiyo shambulizi ni muhimu sana katika kumsambaratisha ndio maana nimetunza mpaka kipindi ambacho muhimu na hatajarii nimlipue kisawasawa.
CAPO DELGADO hautoamini huo wakati..
Naona unaliemisha hilo Pumbavu na Punguwani Kuu hapa JamiiForums nzima. Hongera Mkuu.Kula chuma hii, cheki na wewe huu uandishi wako bora mimi typing error wewe kuchanganya R na L ni uzuzu wa kiwango cha hali ya juu.
Kula chuma hiyo chini Zuzu mkubwa wewe ...👇👇👇View attachment 2799764
Nasubiri sana comeback yake ,nataka arudi zipigwe non stop maana siipendi mpinzani anayekata tamaa mapema .Safi sana mpigeeeeeeee🤣🤣🤣🤣
Kwa huyu nipo tayari hata nipate Ban kwa ajili ya vita nae ,maana miaka 6 sasa tokea nijiunge JF tokea 2017 sijawahi kuwa banned 🚫.Kabisa jamaa ni mkorofi sana mpigeeeeeeee spana🤣🤣
Pumbavu kabisa ,acha kujifanya mchamungu haupendi ugomvi na mwenye busara zake wakati wewe ni mshenzi ,mgomvi na mjinga pia.UNAHISI MIMI NI MTOTO.
AMA NINA MAMBO YA KITOTO?????
Mimi ni msomi na kijana ninayemjua Mungu. SIWEZI KUSHINDANA NA MWOVU.
waebrania 12:14.
Tafuteni kwa bidii kuwa na amani na watu wote, na huo utakatifu, ambao hapana mtu atakayemwona Bwana asipokuwa nao;
Mathayo 5:44.
lakini mimi nawaambia, Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi,
wabarikieni wale ambao wawalaani ninyi, waombeeni wale ambao wawaonea ninyi.
Yohana 13: 34.
Amri mpya nawapa, Mpendane. Kama vile nilivyowapenda ninyi, nanyi mpendane vivyo hivyo.
UTAJISUMBUA BURE KUPAMBANA NA FAKE ID
Naona unaliemisha hilo Pumbavu na Punguwani Kuu hapa JamiiForums nzima. Hongera Mkuu.
Kula chuma hiyo chini 👇👇👇1 Nijaposema kwa lugha za wanadamu na za malaika, kama sina upendo, nimekuwa shaba iliayo na upatu uvumao.
1 Wakorintho 13:1
2 Tena nijapokuwa na unabii, na kujua siri zote na maarifa yote, nijapokuwa na imani timilifu kiasi cha kuweza kuhamisha milima, kama sina upendo, si kitu mimi.
1 Wakorintho 13:2
4 Upendo huvumilia, hufadhili; upendo hauhusudu; upendo hautakabari; haujivuni;
1 Wakorintho 13:4
5 haukosi kuwa na adabu; hautafuti mambo yake; hauoni uchungu; hauhesabu mabaya;
1 Wakorintho 13:5
6 haufurahii udhalimu, bali hufurahi pamoja na kweli;
1 Wakorintho 13:6
7 huvumilia yote; huamini yote; hutumaini yote; hustahimili yote.
1 Wakorintho 13:7
8 Upendo haupungui neno wakati wo wote; bali ukiwapo unabii utabatilika; zikiwapo lugha, zitakoma; yakiwapo maarifa, yatabatilika.
1 Wakorintho 13:8
Hapo umeeandika nini au ndio kuchanganyikiwa na mbege zimejaa kichwani ? pitia andiko lako vizuri kisha rekebisha.Mbaka utaandika kamaza.
Piga spana futa UJUHA.