Yanga SC nawapenda sana, naomba pangeni Kikosi hiki Novemba 5, 2023 ili Simba SC afe mapema tu sawa?

Yanga wataendelea kukanda mpka pale mkandaji Kibu atakapoacha kuitumikia Simba sc[emoji3]
 
Uwe unaandika vizuri kwanza unajifanyia uhariri binafsi kwenye uandishi wako kabla hujapost.

(Najua lengo lako ni ku Provoke ufarahi kuona ID inatukanwa.
Id FAKE YA @CAPODELGADO haiogopi matusi, vitisho mbwembwe nk.

Ninampenda rafiki yangu TUKANA UONE ANASEMA.

Ikiwa hutaki tuchangie nenda kaandike sebuleni kwenu ili ndugu zako wakenue meno na kufurahia ujuha wako Mtu mfupi ,lakini kwa hapa jukwaani tu utaula wa chuya!.

Hapa tutakukaanga,tutakupakua na utaliwa utake usitake

"TUKANA UONE"
Kula chuma hii, cheki na wewe huu uandishi wako bora mimi typing error wewe kuchanganya R na L ni uzuzu wa kiwango cha hali ya juu.

Kula chuma hiyo chini Zuzu mkubwa wewe ...👇👇👇
IMG_20231101_082940.jpg
 
Uwe unaandika vizuri kwanza unajifanyia uhariri binafsi kwenye uandishi wako kabla hujapost.

(Najua lengo lako ni ku Provoke ufarahi kuona ID inatukanwa.
Id FAKE YA @CAPODELGADO haiogopi matusi, vitisho mbwembwe nk.

Ninampenda rafiki yangu TUKANA UONE ANASEMA.

Ikiwa hutaki tuchangie nenda kaandike sebuleni kwenu ili ndugu zako wakenue meno na kufurahia ujuha wako Mtu mfupi ,lakini kwa hapa jukwaani tu utaula wa chuya!.

Hapa tutakukaanga,tutakupakua na utaliwa utake usitake

"TUKANA UONE"
Wewe Kenge nitakushughulikia jumla jumla..

Kabla ya kuanza kusema makosa yangu jaribu kuhariri kazi zako kwanza .

Kula chuma hiyo chini 👇👇
IMG_20231101_083910.jpg
 
Huyu CAPO DELGADO imebidi akimbie sasa comments zangu na anapita kama hazioni.

Na nimemkamata katika uzi mwingine now baada ya kukimbia huu akifanya makosa kama aliyonituhumu.
IMG_20231101_092238.jpg
IMG_20231101_092337.jpg

Kwenye post hiyo juu kuna makosa zaidi ya 10 na sio typing error pekee bali mengi ni ya uzwazwa na ujuha.

CAPO DELGADO kula chuma hiyo chini 👇👇
IMG_20231101_092402.jpg
 
Jamaa nimeahidi kumshughulikia jumla jumla mpaka ateme uji , battle na watu nimepiga sana hapa Jf sasa na yeye kaingia kwenye mfumo rasmi simuachi mpaka aseme..

Kuna chuma nyingine nyeti za kimaadili nimehizifadhi ili kumlipua wakati muhimu hapo zingatia neno wakati muhimu .

Hiyo shambulizi ni muhimu sana katika kumsambaratisha ndio maana nimetunza mpaka kipindi ambacho muhimu na hatajarii nimlipue kisawasawa.

CAPO DELGADO hautoamini huo wakati..
 
Kabisa jamaa ni mkorofi sana mpigeeeeeeee spana🤣🤣
 
Kwa huyu nipo tayari hata nipate Ban kwa ajili ya vita nae ,maana miaka 6 sasa tokea nijiunge JF tokea 2017 sijawahi kuwa banned 🚫.

Hii ni vita ya jumla jumla Jf inachezewa sana na na maZwazwa mfano wake (In Magu's voice)

Na nimejiSacrifice kwa hii vita (In Jiwe's voice)
 
UNAHISI MIMI NI MTOTO.
AMA NINA MAMBO YA KITOTO?????

Mimi ni msomi na kijana ninayemjua Mungu. SIWEZI KUSHINDANA NA MWOVU.

waebrania 12:14.

Tafuteni kwa bidii kuwa na amani na watu wote, na huo utakatifu, ambao hapana mtu atakayemwona Bwana asipokuwa nao;

Mathayo 5:44.
lakini mimi nawaambia, Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi,

wabarikieni wale ambao wawalaani ninyi, waombeeni wale ambao wawaonea ninyi.

Yohana 13: 34.
Amri mpya nawapa, Mpendane. Kama vile nilivyowapenda ninyi, nanyi mpendane vivyo hivyo.

UTAJISUMBUA BURE KUPAMBANA NA FAKE ID
 
1 Nijaposema kwa lugha za wanadamu na za malaika, kama sina upendo, nimekuwa shaba iliayo na upatu uvumao.
1 Wakorintho 13:1

2 Tena nijapokuwa na unabii, na kujua siri zote na maarifa yote, nijapokuwa na imani timilifu kiasi cha kuweza kuhamisha milima, kama sina upendo, si kitu mimi.
1 Wakorintho 13:2

4 Upendo huvumilia, hufadhili; upendo hauhusudu; upendo hautakabari; haujivuni;
1 Wakorintho 13:4

5 haukosi kuwa na adabu; hautafuti mambo yake; hauoni uchungu; hauhesabu mabaya;
1 Wakorintho 13:5

6 haufurahii udhalimu, bali hufurahi pamoja na kweli;
1 Wakorintho 13:6

7 huvumilia yote; huamini yote; hutumaini yote; hustahimili yote.
1 Wakorintho 13:7

8 Upendo haupungui neno wakati wo wote; bali ukiwapo unabii utabatilika; zikiwapo lugha, zitakoma; yakiwapo maarifa, yatabatilika.
1 Wakorintho 13:8
 
Pumbavu kabisa ,acha kujifanya mchamungu haupendi ugomvi na mwenye busara zake wakati wewe ni mshenzi ,mgomvi na mjinga pia.

Umeshindwa vita unaleta vifungu ili uonekane mwema kutafuta public sympathy !

Kumbuka wewe unaongoza kea tabia za kishenzi hapa Jf muda mrefu nilikiwa nakuchungulia kwenye rada tu .

Hii vita bado mbichi kabisa usikate tamaa mapema.

Cc : Charles kilian
 
1 Nijaposema kwa lugha za wanadamu na za malaika, kama sina upendo, nimekuwa shaba iliayo na upatu uvumao.
1 Wakorintho 13:1

2 Tena nijapokuwa na unabii, na kujua siri zote na maarifa yote, nijapokuwa na imani timilifu kiasi cha kuweza kuhamisha milima, kama sina upendo, si kitu mimi.
1 Wakorintho 13:2

4 Upendo huvumilia, hufadhili; upendo hauhusudu; upendo hautakabari; haujivuni;
1 Wakorintho 13:4

5 haukosi kuwa na adabu; hautafuti mambo yake; hauoni uchungu; hauhesabu mabaya;
1 Wakorintho 13:5

6 haufurahii udhalimu, bali hufurahi pamoja na kweli;
1 Wakorintho 13:6

7 huvumilia yote; huamini yote; hutumaini yote; hustahimili yote.
1 Wakorintho 13:7

8 Upendo haupungui neno wakati wo wote; bali ukiwapo unabii utabatilika; zikiwapo lugha, zitakoma; yakiwapo maarifa, yatabatilika.
1 Wakorintho 13:8
Kula chuma hiyo chini 👇👇👇

Mtu ambaye hana mambo ya kitoto na mwenye busara zake anaweza kuhifadhi ujinga kama huu kwenye simu yake na kupost ?

Acha unafiki kuhubiri una busara na hauna mambo ya kitoto ,punguani mkubwa nitakudili na wewe jumla jumla mpaka uteme uji.
IMG_20231101_104306.jpg
 
Back
Top Bottom