GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #61
Kuna Wapumbavu na Mapunguwani walidhani Kutwa wanavyomsakama GENTAMYCINE hapa JamiiForums kutokana na Wivu wao na Chuki zao juu yake basi hatokuwa na Watetezi au Watu wampendao na wanaomheshimu walio tayari pia Kumpambania.Mtu kama wewe mshenzi ,mnafiki na mjinga haifai kuweka vifungu vya dini wakati wewe mwenyewe ndio kiongozi wa kuanzisha ugomvi na kuhubiri chuki.
Mleta mada kaweka maoni ya kikosi chake kama ulivyowahi kufanya wewe bila matusi wala kumkejeli mtu ghafla wewe ukaibuka na kauli zisizo na staha halafu unajifanya mwema Kenge wewe...
Nisongee sana kula chuma hio chini 👇👇👇
Wewe uliwahi kuleta maoni na watu wakakuheshimu kwa nini hauheshimu maoni ya mwenzako na kutoa constructive criticism ?View attachment 2799986
View attachment 2799987
Haya adriz nielimishie hilo Juha Kuu.