Yanga SC nawapenda sana, naomba pangeni Kikosi hiki Novemba 5, 2023 ili Simba SC afe mapema tu sawa?

Mtu kama wewe mshenzi ,mnafiki na mjinga haifai kuweka vifungu vya dini wakati wewe mwenyewe ndio kiongozi wa kuanzisha ugomvi na kuhubiri chuki.

Mleta mada kaweka maoni ya kikosi chake kama ulivyowahi kufanya wewe bila matusi wala kumkejeli mtu ghafla wewe ukaibuka na kauli zisizo na staha halafu unajifanya mwema Kenge wewe...

Nisongee sana kula chuma hio chini 👇👇👇

Wewe uliwahi kuleta maoni na watu wakakuheshimu kwa nini hauheshimu maoni ya mwenzako na kutoa constructive criticism ?View attachment 2799986
View attachment 2799987
Kuna Wapumbavu na Mapunguwani walidhani Kutwa wanavyomsakama GENTAMYCINE hapa JamiiForums kutokana na Wivu wao na Chuki zao juu yake basi hatokuwa na Watetezi au Watu wampendao na wanaomheshimu walio tayari pia Kumpambania.

Haya adriz nielimishie hilo Juha Kuu.
 
Kayataka Mwenyewe mnyoosheni sasa Mpumbavu na Punguwani Wahed mkubwa huyo.

Na kuanzia sasa akijipendekeza tu kuja karika Mada zangu haraka sana nakutagi ili uje umalizane nae huku Mimi nikiendelea Kuwanyoosha Wapumbavu wengine wanaofanana nae.
Hahahahahhahahahhahhh ,sikutegemea huyo mjinga kuwa mpole ghafla na kukimbia Ligi mapema sana .

Sasa hivi kanyooka baada ya kumlipua na kuahidi nitamlipua kwa bomu la nyuklia akiendeleza upumbavu na ujinga wake ..
 
Umempatia kweli kweli na sasa amekuja na ID yake nyingine ( hiyo niliyokutajia hapo ) na zingine Mbili nitakuja baadae kila akiziibua ( akija nazo ) ili uzijue. Ni Mpumbavu, Mshamba, Mswahili na Punguwani vile vile.
 
Makolo ukiunganisha akili zao zote kidogo ndio unaikuta akili ya Mangungu. Hii ni nini sasa mnagombana wemyewe kwa wenyewe?
 
Kwa jinsi ulivyoumbuliwa na unavyoendelea tu Kuumbuliwa na adriz ungekuwa na Akili ungekuwa tu Mpole kwani Unachoreka mno kwa Upumbavu na Upunguwani ulionao.

Watu walikuwa Wanakuvumilia tu sasa wameshakuchoka na Upuuzi wako na wameanza Kukuonyesha ni jinsi gani unavyotakiwa kuwa mbele ya wenye Akili Kubwa hapa JamiiForums.

Wafilipi 2:3-

Msitende neno lo lote kwa kushindana wala kwa majivuno; bali kwa unyenyekevu, kila mtu na amhesabu mwenziwe kuwa bora kuliko nafsi yake
 
Hahahahahhahahahhahhh ,sikutegemea huyo mjinga kuwa mpole ghafla na kukimbia Ligi mapema sana .

Sasa hivi kanyooka baada ya kumlipua na kuahidi nitamlipua kwa bomu la nyuklia akiendeleza upumbavu na ujinga wake ..

Wafilipi 2:3-

Msitende neno lo lote kwa kushindana wala kwa majivuno; bali kwa unyenyekevu, kila mtu na amhesabu mwenziwe kuwa bora kuliko nafsi yake
 
Wafilipi 2:3-

Msitende neno lo lote kwa kushindana wala kwa majivuno; bali kwa unyenyekevu, kila mtu na amhesabu mwenziwe kuwa bora kuliko nafsi yake
Naona sasa akili imekukaa sawa baada sindano zangu kali , na sasa upo under my surveillance kama huu upole wa mchongo uataendeleza au la ,na siku utakapo rudi katika your stupid mode nitakuwasha kwa nyuklia nilizokuahidi.
 
Ulikuwa ukiniQuote na maneno yako ya kipuuzi kama vile ; Juha ,mfuga majini nk na ukafika mpaka hatua ya kuniita Shetani sasa unataka amani baada ya sindano zangu kali.

Ukirudia tena upuuzi wako humu katika uzi wowote nitarudisha makombora yaliyobakia katika uwanja wa vita na kuswitch on my beast mode.
 
adriz mwanetu wa kawe kawekwa kifungoni aisee
 
Ulikuwa ukiniQuote na maneno yako ya kipuuzi kama vile ; Juha ,mfuga majini nk na ukafika mpaka hatua ya kuniita Shetani sasa unataka amani baada ya sindano zangu kali.

Ukirudia tena upuuzi wako humu katika uzi wowote nitarudisha makombora yaliyobakia katika uwanja wa vita na kuswitch on my beast mode.
Achana nae jamaa ni miyeyusho sana
 
Ulikuwa ukiniQuote na maneno yako ya kipuuzi kama vile ; Juha ,mfuga majini nk na ukafika mpaka hatua ya kuniita Shetani sasa unataka amani baada ya sindano zangu kali.

Ukirudia tena upuuzi wako humu katika uzi wowote nitarudisha makombora yaliyobakia katika uwanja wa vita na kuswitch on my beast mode.
CAPO DELGADO au TUKANA UONE mbona haumjibu mbabe wako adriz?
 
Back
Top Bottom