Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Mmesahau nyie miaka yenu mitano ya machozi, jasho na damu na M-BetHuu ndio ukameme ambao Mzee Magoma alikuwa akiukemea ila kwasababu tu mashabiki wa Gongowazi ni rotted brain hawakuweza ku decode alicho maanisha.
Club ambayo inapanda thamani kila msimu, unathubutuje kuingia mikataba ya miaka mingi?
Yani hapo ni sawa na kusema thamani ya sasa ya Yanga itakuwa ni ya hivyo hivyo kwa miaka yote mitano.
wameshapigwaBilioni 1 kwa miaka 5, kwa mwaka ni milioni 200 π€π€
gongo wazi wameshapigwaYaani $ 95,000 kwa mwaka, wizi mtupu
Kila siku 529,000 na zaidi kidogo zinatosha sana si haba kwa matumizi ya kila siku hata kulipia mishahara kwa baadhi ya wafanyakazi ama kwa matumizi ya kila sikuBilioni 1 kwa miaka 5, kwa mwaka ni milioni 200 π€π€
Hata yanga inabebwa na kampuni ndogo ili ikue 529,000 kwa kila siku siyo habaHili jibu la kiwaki sana. Kwaio kampuni ikiwa changa ndio ibebwe na Yanga ili ikue.
Ya vocha hiyo kwa wachezaji... Maana kuna wadhamini wengine pia... au hutaki..??Bilioni 1 kwa miaka 5, kwa mwaka ni milioni 200 π€π€
Kwa hiyo pesa mbona hata mimi naweza kuidhamini Yanga? Yaani Yanga imekuwa ya hovyo kiasi hiki?Kwa mwezi ni sawa na elfu sabin daah GSM nyokoooo
Mkataba ukiisha peleka propasal ya milioni 300 kwa mwaka uitoe ile nembo ya vinywaji vya gsm pale mgongoni, mbona simple tu.Bilioni 1 kwa miaka 5, kwa mwaka ni milioni 200 π€π€
Sign ya mchazaji hiyo tosha kabisaNilifikiri labda brand ya Yanga ni expensive sana kumbe bado wanaingia mikataba ya $80,000 kwa msimu na makampuni?
Kwa yanga walipofika hiyo 1 billion ilipaswa iwe ni mkataba wa msimu mmoja tu.
Labda mwarabu kaamua kurudisha pesa yake aliyokuwa anatoa kwa mlango wa nyumaHili jibu la kiwaki sana. Kwaio kampuni ikiwa changa ndio ibebwe na Yanga ili ikue.
Kwa mwaka simba anapata sh ngapi kutoka m bet? Ila sasa zile kelele za kanjibhai anawapiga zitaishaMmesahau nyie miaka yenu mitano ya machozi, jacho na damu na M-Bet
Nyie mmeuza billion 20 milele huoni kunduloHuu ndio ukameme ambao Mzee Magoma alikuwa akiukemea ila kwasababu tu mashabiki wa Gongowazi ni rotted brain hawakuweza ku decode alicho maanisha.
Club ambayo inapanda thamani kila msimu, unathubutuje kuingia mikataba ya miaka mingi?
Yani hapo ni sawa na kusema thamani ya sasa ya Yanga itakuwa ni ya hivyo hivyo kwa miaka yote mitano.
Pesa ni ndogo. Wamedai wataboresha mkataba.Bilioni 1 kwa miaka 5, kwa mwaka ni milioni 200 π€π€
Bilioni 1 kwa miaka 5, kwa mwaka ni milioni 200 π€π€
12 per Yr miaka 5Kwa niaba ya GSM Group tunayo furaha ya kutangaza rasmi kuwa tumepanua wigo wa mahusiano yetu na klabu ya Yanga SC.
Tunatangaza rasmi kuwa kampuni mpya ya vinywaji ya GSM imeingia mkataba wa miaka mitano na klabu ya Yanga SC, na mkataba huu una thamani ya Tsh bilion 1β Benson Mahenya CEO wa GSM Group.
=========
View attachment 3056883
uongoooo....Hata Azam tv alitoa billion 30 Kwa miaka 10 kupata kibali cha kuonyesha ligi ya Bongo,
Mikataba ya Azam ni kijambazi sana
Nakumbuka Mbeya City kuna mwaka waliingia mkataba wa mwaka mmoja na kampuni ya betting ya PARIMATCH ambapo walilipwa 180m.Sahihi kabisa, kwangu naona milioni 200 ni ndogo kwa mwaka.
UMEUSOMA AU KUUPITIA MKATABA MKUU?Huu ndio ukameme ambao Mzee Magoma alikuwa akiukemea ila kwasababu tu mashabiki wa Gongowazi ni rotted brain hawakuweza ku decode alicho maanisha.
Club ambayo inapanda thamani kila msimu, unathubutuje kuingia mikataba ya miaka mingi?
Yani hapo ni sawa na kusema thamani ya sasa ya Yanga itakuwa ni ya hivyo hivyo kwa miaka yote mitano.