Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Mmesahau nyie miaka yenu mitano ya machozi, jasho na damu na M-BetHuu ndio ukameme ambao Mzee Magoma alikuwa akiukemea ila kwasababu tu mashabiki wa Gongowazi ni rotted brain hawakuweza ku decode alicho maanisha.
Club ambayo inapanda thamani kila msimu, unathubutuje kuingia mikataba ya miaka mingi?
Yani hapo ni sawa na kusema thamani ya sasa ya Yanga itakuwa ni ya hivyo hivyo kwa miaka yote mitano.