Yanga SC yamtaja Abdulrahman Kinana kuwa mgeni rasmi wiki ya Wananchi 2022/23

Yanga SC yamtaja Abdulrahman Kinana kuwa mgeni rasmi wiki ya Wananchi 2022/23

Byuti Btyuti, watani hapa mmepigwa na kitu cha kikeni🤣🤣🤣🤣
 
Klabu ya Yanga imetangaza kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana, ni mgeni rasmi kwenye tamasha la wiki ya Wananchi 2022/2023 linalofanyika leo Agosti 6, 2022 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jiji Dar es salaam.View attachment 2315952
Traffic police watakuwepo kwa uchache sana..[emoji23]
 
Hapa binafsi hua nakosa imani kabisa na soka la Tz pamoja na viongozi wake wote kuanzia Clubs mpaka TFF too much un professional 😀😀
 
Back
Top Bottom