Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Traffic police watakuwepo kwa uchache sana..[emoji23]Klabu ya Yanga imetangaza kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana, ni mgeni rasmi kwenye tamasha la wiki ya Wananchi 2022/2023 linalofanyika leo Agosti 6, 2022 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jiji Dar es salaam.View attachment 2315952
Cha ajabu wanasiasa wakishiriki upande wao wanakuwa kimya, wakishiriki upande usiokuwa wao inakuwa nongwa.Hivi wewe hujui yanga ni sehemu ya uhuru wa hii nchi