Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Tena timu inayojiona kuwa ni kubwa na haina kombe lolote..!! Hapo kunyanyasika kunakuwa PROMAXNa intensity ya manyanyasiko inakua kubwa kutokana na kujiona ni timu kubwa Afrika.
Wangejiona ni timu ya kawaida inayochipukia kuelekwa kwenye ukubwa wasingenyanyasika hivyo.
Sio inayojiona, ila inayoonwa na CAF. subiri Super League itakapoanza ndipo utazijua timu ambazo CAF inaziona kuwa ni kubwa, na ambazo zinajiona zenyewe kuwa ni kubwa 😁😁 😁Tena timu inayojiona kuwa ni kubwa na haina kombe lolote..!! Hapo kunyanyasika kunakuwa PROMAX
Hii ligi ya kuteuliwa..!! Kwahiyo, CAF ndo wanaumia kwa kukosa kwenu makombe?Sio inayojiona, ila inayoonwa na CAF. subiri Super League itakapoanza ndipo utazijua timu ambazo CAF inaziona kuwa ni kubwa, na ambazo zinajiona zenyewe kuwa ni kubwa 😁😁 😁
Labda tuwapigie simuHii ligi ya kuteuliwa..!! Kwahiyo, CAF ndo wanaumia kwa kukosa kwenu makombe?
Kwani nyie kuumia kwenu kumejulikana baada ya kupigiwa simu?Labda tuwapigie simu
Komesha. Ametoka nduki.Umeona wapi LIGI ina makundi [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwenye comment yangu kuna neno Simba hapo?Simba anashiriki mashindano yapi kati ya hayo kwasasa? Kwasababu hayo mashindano hayajaisha bado
Yaani timu iliyoko shirikisho iishinda iliyoko klabu bingwaHii ni orodha ya matokeo ya viwango vipya ambavyo vimetolewa na Shirikisho laa Kimataifa la Takwimu na Historia za Mpira wa Miguu yaani (IFFHS)
Link:- (IFFHS)
Kongole kwa GSM kwa maana jitihada zako zisizo na mbambamba zimefanya Mabingwa wa kihistoria wa LigiKUU Tanzania Kushika nafasi ya 9 ambayo haijawahi kufikiwa na Klabu yeyote ile kutoka ukanda wa nchi waasisi za Afrika Mashariki.
Natumai baada ya kuchukua ubingwa wa CAFCC tutafika hadi nafasi ya 2 kiafrika.
Matunda ya uwekezaji bora, usajili bora na uendeshaji bora wa kisasa wa klabu ndio haya sasa.View attachment 2622188
Ngapi zishakutoka?Punguza makasiriko mimba itatoka
Wanaoumia ni CAF, sisi tunafuata maelekezo tu kwamba tunatakiwa kushiriki Super League na wakubwa wengineKwani nyie kuumia kwenu kumejulikana baada ya kupigiwa simu?
🤣🤣🤣 Unaugulia ukiwa wapi?upumbavu wa kiwango cha lami
ujinga bana yan Yanga tu ndo wapande hadi nafasi ya 9 ila wenzao walioingia nusu fainali kuanzia asec usma marumo wasiwepo [emoji23][emoji23]
Ila wewe uliyeramba lolo ya kibu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ni bora zaidi????Unaweza kucheza nusu fainali na usiwe bora.
Mfano:- Azam FC hajacheza robo fainali laakini amekulambisha ukwaju katika ASFC.
[emoji849][emoji849][emoji849]ahly amewapita chelsea,psg,napoli, barcelona n.kWR (world Rank) au sijaelewa....Aly Ahaly awe no.5? Mmmmh
Leo ndio mnapata akili za kuhojji juu ya hizi takwimu za IFFHS kwavile tu Yanga ipo juu ya Simba na pia ipo nafasi za juu ndio mnashangaa lakini kipindi kile Simba inawekwa mlikuwa mnakuja kupongezana na hakuna aliyehoji kuwa kivipi. Endeleeni kupokea ranking, kama walivyotumia vigezo vya kuipandisha Simba ndivyo wanavyotumia kuipandisha Yanga hadi nafasi ya tisa. Kutesa kwa zamuYaani mamelod aliye nusu fainal na anaelekea fainali ya klabu bingwa Afrika apitwe na pyramid waliotolewa kwenye kombe la luzaz na ruvu shooting ya sauzi afrika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Leo mmewageuka IFFHS?[emoji849][emoji849][emoji849]ahly amewapita chelsea,psg,napoli, barcelona n.k
Kama huamini basi
Kawalilie IFFHS hawa hapa [emoji116] [emoji116]Yaani mamelod aliye nusu fainal na anaelekea fainali ya klabu bingwa Afrika apitwe na pyramid waliotolewa kwenye kombe la luzaz na ruvu shooting ya sauzi afrika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]