Yanga SC Yapanda Namba 9 Viwango Vya Klabu Bora Afrika

Yanga SC Yapanda Namba 9 Viwango Vya Klabu Bora Afrika

Na intensity ya manyanyasiko inakua kubwa kutokana na kujiona ni timu kubwa Afrika.
Wangejiona ni timu ya kawaida inayochipukia kuelekwa kwenye ukubwa wasingenyanyasika hivyo.
Tena timu inayojiona kuwa ni kubwa na haina kombe lolote..!! Hapo kunyanyasika kunakuwa PROMAX
 
Hii ni orodha ya matokeo ya viwango vipya ambavyo vimetolewa na Shirikisho laa Kimataifa la Takwimu na Historia za Mpira wa Miguu yaani (IFFHS)

Link:- (IFFHS)

Kongole kwa GSM kwa maana jitihada zako zisizo na mbambamba zimefanya Mabingwa wa kihistoria wa LigiKUU Tanzania Kushika nafasi ya 9 ambayo haijawahi kufikiwa na Klabu yeyote ile kutoka ukanda wa nchi waasisi za Afrika Mashariki.

Natumai baada ya kuchukua ubingwa wa CAFCC tutafika hadi nafasi ya 2 kiafrika.

Matunda ya uwekezaji bora, usajili bora na uendeshaji bora wa kisasa wa klabu ndio haya sasa.View attachment 2622188
Yaani timu iliyoko shirikisho iishinda iliyoko klabu bingwa

Mhaa
 
Toa ujinga
AddText_05-07-05.55.40.jpg

Sio kosa lako Shida ilianzia hapa
 
Hao wengine wachukua ubingwa Ligi gani? Ligi zao zipo ranked top 5 Africa? Dunduka ni dunduka tu
ujinga bana yan Yanga tu ndo wapande hadi nafasi ya 9 ila wenzao walioingia nusu fainali kuanzia asec usma marumo wasiwepo [emoji23][emoji23]
 
Unaweza kucheza nusu fainali na usiwe bora.

Mfano:- Azam FC hajacheza robo fainali laakini amekulambisha ukwaju katika ASFC.
Ila wewe uliyeramba lolo ya kibu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ni bora zaidi????
 
Yaani mamelod aliye nusu fainal na anaelekea fainali ya klabu bingwa Afrika apitwe na pyramid waliotolewa kwenye kombe la luzaz na ruvu shooting ya sauzi afrika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Leo ndio mnapata akili za kuhojji juu ya hizi takwimu za IFFHS kwavile tu Yanga ipo juu ya Simba na pia ipo nafasi za juu ndio mnashangaa lakini kipindi kile Simba inawekwa mlikuwa mnakuja kupongezana na hakuna aliyehoji kuwa kivipi. Endeleeni kupokea ranking, kama walivyotumia vigezo vya kuipandisha Simba ndivyo wanavyotumia kuipandisha Yanga hadi nafasi ya tisa. Kutesa kwa zamu
IMG_20230515_100637.jpg
IMG_20230515_101026.jpg
IMG_20230515_100758.jpg
 
Yaani mamelod aliye nusu fainal na anaelekea fainali ya klabu bingwa Afrika apitwe na pyramid waliotolewa kwenye kombe la luzaz na ruvu shooting ya sauzi afrika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kawalilie IFFHS hawa hapa [emoji116] [emoji116]

Back
Top Bottom