Yanga SC Yapanda Namba 9 Viwango Vya Klabu Bora Afrika

Ikitokea hii taarifa ikawa ni ya kweli, basi kuna watu watanuna sana. Maana siku zote waliishi kwa majivuno kupitia takwimu za aina hii.
 
Sawa, lakini hii list hamna kitu hii. Timu zote mbovu. Timu zilizokuwepo ile list ya mara ya mwisho na kurudi nyuma ndiyo zilikua timu ngumu.
Hizi za safari hii nyepesi sana. Kwanza sasa hivi focus ya CAF ipo kwenye Super League, siyo hizi rang
 
Kweli mfa maji haachi kutapatapa.
 
Mi Wala sishangai takwimu zilizopita Simba na yanga zilizidi man u Hawa (IFFHS) Takwimu zao wanazojua wenyewe
 
Sawa, lakini hii list hamna kitu hii. Timu zote mbovu. Timu zilizokuwepo ile list ya mara ya mwisho na kurudi nyuma ndiyo zilikua timu ngumu.
Hizi za safari hii nyepesi sana. Kwanza sasa hivi focus ya CAF ipo kwenye Super League, siyo hizi rang
Aahaaaaaa
 
Aahaaaaaa
Maana wao kila hatua ya Yanga wanasema hakuna kitu.
Ikija ushiriki wa kombe la Shirikisho wanadai eti la enzi zao mdiyo lilikua na timu ngumu siyo la sasa.
Hawajui kuwa wao waliziona zile timu ni ngumu sababu walikua ndiyo vibonde katika timu zile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…