Kobaba
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 492
- 342
Wapigwe tu. Ila kule kwetu nako muda wowote zumari inaweza ingia tandu, isilie tena, wabaki kusaga meno. Maana bosi kama vile amechoshwa na vipigo visivyo na sababu. Wachezaji wamelegea kama vile wanakula nyasi. Fedha yote wanayolipwa. Hata mimi ningechoka.