Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti kuimba kupokezana!😂😂😂😂Ama kweli kuimba kupokezana Mtani.
Tumeyapokea.
Azam walishinda nini huko ZanzibarYanga walikuwa busy kushangilia ushindi wa Azam kule Zanzibar wakajisahau kujiandaa na mechi ya leo.
Dah autocorrect imezingua, nimeandika Mtibwa yenyewe ikaweka Azam, gademshit 😂😂😂Azam walishinda nini huko Zanzibar
Leo tulia tukupe dawa hadi majirani wajue..Dakika 89..Ongeeni taratibu basi wengine wasisikie na nyie.
Habari ya asubuhi mtani,umeamkaje haaaaaa haaaaaaOngeeni taratibu basi na nyie. Teh teh
Ndio Pacha. 🙈Eti kuimba kupokezana!😂😂😂😂
Khaaaaa [emoji3]Hata sisi humu tukiungana tukatimia 11 mbona freshi tu
Du dharau sana hiiHata sisi humu tukiungana tukatimia 11 mbona freshi tu