Latatu huko lishaingia wenzako wanahangaika kuchomoa we umekwepa msala kwa kujificha nyuma ya keyboardMwandishi ni MIKIA MWENZIO! Anataka ku-revenge ile power bank ya Kagele
Mwanaume kupigwa kwako ni aibu ya dunia.....Oyeeeeee hahahahhahahahahahahahahahahahaahahhahahahhahahahahahahahahahahahaahahah
Nauchawi wao Level hiyo bado hawaifikiaMwanaume kupigwa kwako ni aibu ya dunia.....
Labda hz dk 4 za nyongeza watarudisha!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha yanga bwana
Hao vyura 🐸 🐸 🐸 wako ndani ya maji ya Moto 😂😂😂😂Nasikia la 3 uko
Kwako mwalimu kashasha [emoji1787][emoji1787]
Kucheka kupokezana bwana [emoji1787][emoji1787]Hao vyura [emoji196] [emoji196] [emoji196] wako ndani ya maji ya Moto [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]