Eti kuimba kupokezana!ππππAma kweli kuimba kupokezana Mtani.
Tumeyapokea.
Azam walishinda nini huko ZanzibarYanga walikuwa busy kushangilia ushindi wa Azam kule Zanzibar wakajisahau kujiandaa na mechi ya leo.
Dah autocorrect imezingua, nimeandika Mtibwa yenyewe ikaweka Azam, gademshit πππAzam walishinda nini huko Zanzibar
Leo tulia tukupe dawa hadi majirani wajue..Dakika 89..Ongeeni taratibu basi wengine wasisikie na nyie.
Habari ya asubuhi mtani,umeamkaje haaaaaa haaaaaaOngeeni taratibu basi na nyie. Teh teh
Ndio Pacha. πEti kuimba kupokezana!ππππ
Khaaaaa [emoji3]Hata sisi humu tukiungana tukatimia 11 mbona freshi tu
Du dharau sana hiiHata sisi humu tukiungana tukatimia 11 mbona freshi tu