Yanga SC yapokea kichapo cha mbwa koko kutoka Kagera Sugar

Yanga goli moja hawaridhikagi mpaka mbili au tatu sasa wamekutana na wahaya wamewapiga katerero +ndizi na senene za vukoba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Wamepanua mara kimoja! Nikajua wamechoka! Haa, wakapanua tena, Kagera wakaingiza! Bado Tu wakapanua mara ya 3 wakaingizwa lingine!

Kagera kweli balaa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TAIFA AKUFAI
VIONGOZVIONGOZI WANALALAMIKIWA KILA KONA KUKUBALI DILI LA MZUNGU KUJA YANGA NA KUMWONDOA MKWASA

YANGU MACHO

KAGERA ANAONGOZA MBILI
Huna lolote wewe umekalia
 
Hawa Kagera wabaya hawa, wamemfikisha Chura CLIMAX.

Alisikika mlevi mmoja akisema
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Daah aisee! Kuna watu leo huku waliko wamezimia mazima
Aiseeee ni yule CHURA?
Pongezi kwake kwa kujifungua mapacha, ni kitambo sasa alikuwa akisaka watoto, hatimaye Mungu kamuona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…