Molinga ni tajiri?Mbona Molinga alisusa baada ya kufanyiwa Sub? Uzuri wa Yanga utoke wapi sema ubovu wa Yanga[emoji23][emoji23]
Ama kweli kuimba kupokezana Mtani.
Tumeyapokea.
Ndugu yangu nakusalimia halafu nakupa pole tuHaya bana Mtani.
Aisee KumbeHawakwenda na matokeo..Hawa walilala na matokeo kwenye godoro la GSM[emoji23][emoji23]
Halafu kweli mpk mpira uishe ndo utawaona!Yanga siku yao ya mechi hawaanzishi thread kabla ya mechi wala hawachangii wengi.
Yaani wanasusa kabisa.
Nawapa Pole.
Wasiwe na matokeo mfukoni kabla ya mechi.
Mpira ni dakika 90.
[emoji856][emoji856][emoji856][emoji856]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nauza yanga mbovu na chuma chakavuMpk saa hii ni dakika ya 70! Kagera wako mbele Kwa bao 2.
Watani zangu mpira hauna mwenyeji! Ligi kuu inaendelea kunoga!
FT: Yanga Kala miguu ya bajaji Aina ya TVS
Yanga 0-3 Kagera suger!
Sent using Jamii Forums mobile app