Yanga SC yavunja benchi lake la ufundi na kuachana na Kocha Mkuu, Cedric Kaze

Yanga SC yavunja benchi lake la ufundi na kuachana na Kocha Mkuu, Cedric Kaze

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,170
Reaction score
7,665
Taarifa Rasmi Kutoka Yanga ni Kuwa wameamua Kuachana Na Kocha Wao Mkuu: Pamoja na Benchi Lote la Ufundi.

741d7121-78b8-4857-a4e4-ad9736cbd454.jpg
 
katika list ya wanaotimuliwa mbona yule mnyakyusa hayupo?

unapovusha wanyama mtoni anza na chui kwanza, ukianza na swala chui atatafuna nyumbu waliobaki wakati we uko ng'ambo ya mto

mwakalebela anafanya nini pale kafanya uhuni mwingi kwa kuchezea feelings za mashabiki kwenye sakata la morrison na bado wanamlea lea tu
 
Klabu ya Yanga imetangaza kuvunja benchi lake lote la ufundi ikiwa ni pamoja na kumfuta kazi Kocha Mkuu Cedric Kaze.

Taarifa kamili hapo chini 👇🏼
20210307_211546.jpg
 
Nilisema Mimi jana achaneni na mambo ya Simba huko sudan mjikite kwenye mchezo na polisi mana si salama kwa afya zenu hamkusikia.

Haya bwana Kitenge nenda karipot sasa hizi habari huko kwenye page yako.

Utopolo Kama nyie eti mnataka kushindana na timu kubwa Kama Simba inayo ogopwa Africa nzima.

Kocha anakuja anawajazia warundi kibao utafikiri kikundi Cha Ntarahamwe na hao kina Sarpong wa bwana eng Heris sijui Gsm ovyo kabisaa.

Njooni Simba tuwape kina miraji waje kuwapa ushindi
 
Back
Top Bottom