Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii itakuwa kwa hisani ya Prisons ππππ π π Nakusalimia Mtani.
Barabara ni CEO mzuri kuliko Senzo? Kwa sura ama? Kipi muhimu na cha ajabu kafanya!?Gsm anarudia makosa ya manji ambaye alifikiri kurudisha goli tano nikusajili mastaa wa Simba, yeye alifikiri senzo nsio siri ya mafanikio ya Simba wakati aenzo aliikuta simba kwenye mafanikio tayari na pia kuondoka kwake kumeifanya Simba kumpata CEO bora zaidi yake.
Anatakiwa akiona simba wana mchezaji mzuri.au mtendaji mzuri anatakiwa atafute wazuri zaidi ya waliopo Simba ila akienda kuchukua Simba wao watatafuta wazuri zaidi ya waliokuwepo
kwani matokeo huyaoni, tangia mmchukue Senzo mshafukuza makocha wawili huku wenzenu wanachanja mbuga.Barabara ni CEO mzuri kuliko Senzo? Kwa sura ama? Kipi muhimu na cha ajabu kafanya!?
Hamna bana π π Ni kweli mambo zilikuwa mingi Mtani. Ila amubaki. π πHii itakuwa kwa hisani ya Prisons πππ
Nashukuru mtani kwa salaam. Naona ulikuwa busy sana πππ