Yanga SC yavunja benchi lake la ufundi na kuachana na Kocha Mkuu, Cedric Kaze

Yanga SC yavunja benchi lake la ufundi na kuachana na Kocha Mkuu, Cedric Kaze

Mna mambo nyie watu. Ama kweli Yanga..... Nyuma MwikoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mtani Shadeeya ...... Haraka ukuje huku kuna mwiko nyuma umeharibu mambo. Polisi badala ya kirungu wao wameshindilia Mwiko nyuma
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Nakusalimia Mtani.
 
Kama kuna mtu anastahili kufukuzwa Yanga basi ni hili zigo
IMG-20210312-WA0007.jpg
 
Gsm anarudia makosa ya manji ambaye alifikiri kurudisha goli tano nikusajili mastaa wa Simba, yeye alifikiri senzo nsio siri ya mafanikio ya Simba wakati aenzo aliikuta simba kwenye mafanikio tayari na pia kuondoka kwake kumeifanya Simba kumpata CEO bora zaidi yake.
Anatakiwa akiona simba wana mchezaji mzuri.au mtendaji mzuri anatakiwa atafute wazuri zaidi ya waliopo Simba ila akienda kuchukua Simba wao watatafuta wazuri zaidi ya waliokuwepo
Barabara ni CEO mzuri kuliko Senzo? Kwa sura ama? Kipi muhimu na cha ajabu kafanya!?
 
Hivi yanga mpo kweli kwenye ligi?.naona kimya sijui mnacheza lini
 
Hii itakuwa kwa hisani ya Prisons πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nashukuru mtani kwa salaam. Naona ulikuwa busy sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hamna bana πŸ˜…πŸ˜… Ni kweli mambo zilikuwa mingi Mtani. Ila amubaki. πŸ˜…πŸ˜…

πŸ™πŸ™
 
Tatizo la Yanga sio benchi la ufundi ila ni quality ya wachezaji hasa washambuliaji hamna wenye sifa.

Wamewaonea tu hao walimu, Yanga hii hata wangeletwa Guardiola, Kllop na Zidane wawe kwenye benchi lakini hawawezi kuchukua ubingwa.

Wachezaji kama akina Sarpong na huyo Abdulrazak sio wa kuweza kuipa timu ubingwa wa ligi. Yanga wanakazana kununua wachezaji wa kigeni ambao uwezo wao unazidiwa na wachezaji wengi wa humu nchini ili miradi tu viongozi wapige pesa. Hovyo kabisa, hawatafika popote.
 
Back
Top Bottom