Yanga sio mabingwa wa kihistoria (Simba yupo 22 na Yanga pia)

Mwaka 2000 alichukua yanga.
We mbona mbishi sana ndio tatizo la watoto mliozaliwa miaka ya 2000s Mtibwa alikuwa Bingwa back to back 1999 and 2000 nashangaa unavyosema Yanga kabeba huo mwaka ndio nika conclude wewe ni mtoto wa miaka ya 2000s
 
Aisee nimeenda kuangalia kwenye documents za Tanzania Premier League nao wanasema Simba na Yanga wamelingana 22 championships each. Sijaelewa hi taarifa ya Yanga kushinda Mara 27 imetoka wapi?.
 
Aisee nimeenda kuangalia kwenye documents za Tanzania Premier League nao wanasema Simba na Yanga wamelingana 22 championships each. Sijaelewa hi taarifa ya Yanga kushinda Mara 27 imetoka wapi?.
Zipo wapi hizo documents? au ndio zile stori za kwenye vijiwe vya kahawa za kusogeza muda.
 
Miaka ya hivi karibuni dhana ya utani wa jadi kati ya Simba na Yanga inapotea kwa kasi na kuibuka kwa chuki nauhasama wa wazi wazi, ukipitia threads nyingi humu kuhusu hizi timu mbili nyingi ni za kutokana, kukejeli, kudharau na kuchukia timu nyingine sijui tatizo ni nini?!
Wikipedia hata mtu asie na account kule anaweza kuingia na kuedit taarifa na kuzipublish zikaonekana vile itakavyompendeza yeye so sio chanzo cha uhakika cha taarifa, anyways mleta mada aende ofisi za FAT/ TFF au BMT atapewa taarifa sahihi badala ya kuleta upotoshaji huku mitandaoni, otherwise ni km lengo ni watu kubishana na kujua nani mbishi mzuri basi ni mada nzuri sana, tuendelee kubishana
 

Mbona Tanzania Premier League wanasema Simba na Yanga wanashare ubingwa 22 kwa 22
 
Ukiingia kwenye wikipedia utaona taarifa hiyo hapo chini (au google). ikionyesha yanga imeshinda mara 27 lakini ukihesabu kwa umakini miaka kama inavyoonyesha hapo utaona imechukua mara 22 tu. Sasa cjui kuna tatizo gani hapa na cjui tuelewe lipi!! Champions (27): 1968, 1969, 1970, 1971, 1972, 1974, 1981, 1983, 1987, 1991, 1996, 1997, 2000, 2005, 2006, 2007–08, 2008–09, 2010–11, 2012–13, 2014–15, 2015–16, 2016–17.
 
Basi mashabiki wa Simba wabaki kujua makombe ya Yanga 22 na wa Yanga wabaki wakijua timu yao ina makombe 27,hakuna kesi hapo
 
Unachanganya Ligi ya Dar, Tanganyika/Bara na Muungano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…