Una shupaza shingo hio website inamakosa mwaka 2000 bingwa hakua YangaMzee mbona unajichosha sana. Hii ni website halali ya yanga. Wewe hesabu tu hapo kama utaona takataka uliyoiweka
View attachment 2082608
Sasa unataka mimi nikusaidieje!? Unaongea maneno matupu bila references. Sisi wasomi tunaongea vitu kwa ushahidi.Una shupaza shingo hio website inamakosa mwaka 2000 bingwa hakua Yanga
Mthomi.Sasa unataka mimi nikusaidieje!? Unaongea maneno matupu bila references. Sisi wasomi tunaongea vitu kwa ushahidi.
Weka ushahidi.
Unajiita msomi usie taka kufanya reference kutoka sources tofauti? Nmekwambia mwaka 2000 Yanga hakua bingwa hutaki kuelewa basi kaa na usomi wakoSasa unataka mimi nikusaidieje!? Unaongea maneno matupu bila references. Sisi wasomi tunaongea vitu kwa ushahidi.
Weka ushahidi.
Sasa unaleta taarifa kutoka kichwani mwako!? Tuambie hizo taarifa umezitoa wapi!? Weka reference hapaUnajiita msomi usie taka kufanya reference kutoka sources tofauti? Nmekwambia mwaka 2000 Yanga hakua bingwa hutaki kuelewa basi kaa na usomi wako
Kabla hatuja endelea na mjadala nijibu swali hili.Sasa unaleta taarifa kutoka kichwani mwako!? Tuambie hizo taarifa umezitoa wapi!? Weka reference hapa
View attachment 2083243
Sasa mzee thread inaongelea yanga wewe unaniuliza maswali ya mtibwa, wapi na wapi. Anzisha thread kuuliza mtibwa ilipata ubingwa mwaka gani tutakuja kuchangia.Kabla hatuja endelea na mjadala nijibu swali hili.
Unakubali Mtibwa kasha wahi chukua kombe la ligi kuu? Kama jibu ni ndio nitajie Mwaka kama jibu ni Hapana tuachane na hili swala
Unajiita msomi harafu huelewi Mtibwa kaja vp kwenye hii thread? Kumamae CCM imetuweza haya ndio matunda ya BRNSasa mzee thread inaongelea yanga wewe unaniuliza maswali ya mtibwa, wapi na wapi. Anzisha thread kuuliza mtibwa ilipata ubingwa mwaka gani tutakuja kuchangia.
Umenielewa mwanangu!?
Mkuu wikipedia is not credible source, ukiitumia hiyo kama reference itakuwa kwako.Ukiingia kwenye wikipedia utaona taarifa hiyo hapo chini (au google). ikionyesha yanga imeshinda mara 27 lakini ukihesabu kwa umakini miaka kama inavyoonyesha hapo utaona imechukua mara 22 tu. Sasa cjui kuna tatizo gani hapa na cjui tuelewe lipi!! Champions (27): 1968, 1969, 1970, 1971, 1972, 1974, 1981, 1983, 1987, 1991, 1996, 1997, 2000, 2005, 2006, 2007β08, 2008β09, 2010β11, 2012β13, 2014β15, 2015β16, 2016β17.
Umri wangu ni sawa na baba yako. Tafadhali jiheshimu. Njoo na facts kama hii:Unajiita msomi harafu huelewi Mtibwa kaja vp kwenye hii thread? Kumamae CCM imetuweza haya ndio matunda ya BRN
Sawa Makolokolo/Makorokocho FCHuna uthibitisho ila unaamini utopolo ni mabingwa wa kihistoria.Hakika wewe ni liutopolo.
Kwa hiyo mtibwa hajawahi chukua ubingwa!?Leo nimejaribu kufuatilia documents kila kona nimekuja kupata taarifa kuwa yanga yupo na makombe 22 ya ligi huku simba hapo awali alijulikana Sunderland naye yupo na makombe 22 ya ligi. Nashindwa kuelewa yanga anajiita bingwa wa kihistoria kwa kigezo kipi!?
RECORD HII HAPA
Dar es Salaam League
1944- Sunderland (Dar es Salaam)
1945 not known
1946 - Sunderland (Dar es Salaam)
1947-63 not known
1964 - Cosmopolitans (Dar es Salaam)
national (mainland) league
1965 - Sunderland (Dar es Salaam)
1966 - Sunderland (Dar es Salaam)
1967 - Cosmopolitans (Dar es Salaam)
1968 - Young Africans (Dar es Salaam)
1969 - Young Africans (Dar es Salaam)
1970 - Young Africans (Dar es Salaam)
1971 - Young Africans (Dar es Salaam)
1972 - Young Africans (Dar es Salaam)
1973 - Simba (Dar es Salaam)
1974 - Young Africans (Dar es Salaam)
1975 - Mseto Sports (Morogoro)
1976 - Simba (Dar es Salaam)
1977 - Simba (Dar es Salaam)
1978 - Simba (Dar es Salaam)
1979 - Simba (Dar es Salaam)
1980 - Simba (Dar es Salaam)
1981 - Young Africans (Dar es Salaam)
1982 - Pan African (Dar es Salaam)
1983 - Young Africans (Dar es Salaam)
1984 - KMKM (Zanzibar)
1985 - Tukuyu Stars(Rungwe)
1986 - Maji Maji (Songea)
1987 - Young Africans (Dar es Salaam)
1988 - African Sports (Tanga)
1989 - Malindi
1990 - Pamba (Shinyanga)
1991 - Young Africans (Dar es Salaam)
1992 - Malindi
1993 - Simba (Dar es Salaam)
1994 - Simba (Dar es Salaam)
1995 - Simba (Dar es Salaam)
1996 - Young Africans (Dar es Salaam)
1997 - Young Africans (Dar es Salaam)
1998 - Maji Maji (Songea)
1999 - Prisons (Mbeya)
2000 - Young Africans (Dar es Salaam)
2001 - Simba (Dar es Salaam)
2002 - Simba (Dar es Salaam)
2003 - not awarded (*)
Tanzania Mainland (Tanzania Bara)
2004 - Simba (Dar es Salaam)
2005 - Young Africans (Dar es Salaam)
2006 - Young Africans (Dar es Salaam)
2007 - Simba (Dar es Salaam) [mini-league]
2008 - Young Africans (Dar es Salaam)
2009 - Young Africans (Dar es Salaam)
2010 - Simba (Dar es Salaam)
2011 - Young Africans (Dar es Salaam)
2012 - Simba (Dar es Salaam)
2013 - Young Africans (Dar es Salaam)
2014 - Azam FC (Dar es Salaam)
2015 - Young Africans (Dar es Salaam)
2016 - Young Africans (Dar es Salaam)
2017 - Young Africans (Dar es Salaam)
2018 - Simba (Dar es Salaam)
2019 - Simba (Dar es Salaam)
2020 - Simba (Dar es Salaam)
2021 - Simba (Dar es Salaam)
2022 -
Hilo swali hataki kujibuKwa hiyo mtibwa hajawahi chukua ubingwa!?
Itakua ulisoma elimu ya watu wazimaUmri wangu ni sawa na baba yako. Tafadhali jiheshimu. Njoo na facts kama hii:
View attachment 2083735
Unatafuta kiki kwangu!?Itakua ulisoma elimu ya watu wazima
Mkuu ungejibu swali lakeUnatafuta kiki kwangu!?
Kama mtibwa au timu zingine hazihusiki na thread yako isipokua yanga, basi ungetoa hizo timu zote ukaorodhesha tu miaka ambayo yanga alitwaa ubingwa.Sasa mzee thread inaongelea yanga wewe unaniuliza maswali ya mtibwa, wapi na wapi. Anzisha thread kuuliza mtibwa ilipata ubingwa mwaka gani tutakuja kuchangia.
Umenielewa mwanangu!?
Hili swali sijui kwa nn hataki kulijibu. Mwaka 2000 Mtibwa ananyanyua kwapa tena juzi tu hapa watu wanakula mbunye na wako humu leo hii anataka kuifuta historia ya 2000!Mkuu ungejibu swali lake