...Jamaa wanajifariji kwa takwimu za kutengeneza. Mzee Rage aliona mbali sana kuwaita jina alilowaita aiseeZipo wapi hizo documents? au ndio zile stori za kwenye vijiwe vya kahawa za kusogeza muda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...Jamaa wanajifariji kwa takwimu za kutengeneza. Mzee Rage aliona mbali sana kuwaita jina alilowaita aiseeZipo wapi hizo documents? au ndio zile stori za kwenye vijiwe vya kahawa za kusogeza muda.
Leta takwimu zako sasa la sivyo ni wale wale tu mashabiki maandazi....Jamaa wanajifariji kwa takwimu za kutengeneza. Mzee Rage aliona mbali sana kuwaita jina alilowaita aisee
Huyu anakopi tu vitu kwenye mitandao ya wasiojielewa. Wanachanganya kati ya mabingwa wa muungano na mabingwa wa ligi kuu.Jamaa sjui kaziokota wapi hizo takwimu halafu anakuja kulisha makolo wenzie matango pori. Yani yeye muda wote anawaza kuanzisha nyuzi zihusuzo Yanga, hovyo kabisa
Sofa score wazungu hao.Inaitwaje source yako? umescreenshot lkn jina ya hiyo App halipi,Mimi rekodi ya Yanga kuchukua ubingwa mara 27 niliiona kwenye gazeti la Champion na Mwanaspoti mwaka jana.
Ila kuna site imechambua vizuri [emoji116][emoji116]
Weiterleitungshinweis
www.google.com
...Kwan kuna popote nliposema mie nna takwimu? Mie similiki takwimu wewe KoloLeta takwimu zako sasa la sivyo ni wale wale tu mashabiki maandazi.
Bingwa wa mwaka 1985, 1986 na 1998 ni Maji maji ya Songea.50
ILI UZIONE VIZURI ANGALIA HAPA
1965 Sunderland (Simba SC)
1966 Sunderland
1967 Cosmopolitan
1968 Young Africans
1969 Young Africans
1970 Young Africans
1971 Young Africans
1972 Young Africans
1973 Simba SC
1974 Young Africans
1975 Mseto SC
1976 Simba SC
1977 Simba SC
1978 Simba SC
1979 Simba SC
1980 Simba SC
1981 Young Africans
1982 Pan Africans
1983 Young Africans
1984 Simba SC
1985 Young Africans
1986 Tukuyu Stars
1987 Young Africans
1988 Coastal Union
1989 Young Africans
1990 Simba SC
1991 Young Africans
1992 Young Africans
1993 Young Africans
1994 Simba SC
1995 Simba SC
1996 Young Africans
1997 Young Africans
1998 Young Africans
1999 Mtibwa Sugar
2000 Mtibwa Sugar
2001 Simba SC
2002 Young Africans Sc
2003 Simba SC
2004 Simba SC
2005 Young Africans Sc
2006 Young Africans Sc
2007 Simba SC
2007/08 Young Africans Sc
2008/09 Young Africans Sc
2009/2010 Simba SC
2010/2011 Young Africans
2011/2012 Simba SC
2012/2013 Young Africans
2013/2014 Azam
2014/2015 Young Africans
2015/ 2016 Young Africans
2016/ 2017 Young Africans
2017/ 2018 Simba
2018-19 Simba
2019-20 Simba
2020-21 Simba
21-22 ???
Huna uthibitisho ila unaamini utopolo ni mabingwa wa kihistoria.Hakika wewe ni liutopolo....Kwan kuna popote nliposema mie nna takwimu? Mie similiki takwimu wewe Kolo
Soma huu uchambuzi wa Paschal Kabombe wa Azam.Bingwa wa mwaka 1985, 1986 na 1998 ni Maji maji ya Songea.
Angalia hapo kwenye kipengele cha Achievement;Soma huu uchambuzi wa Paschal Kabombe wa Azam.
Majimaji alichukua ubingwa wa Muungano mara tatu na si wa Tanzania bara.![]()
MIAKA 21 YA LIGI YA MUUNGANO. MIAKA 15 BILA LIGI YA MUUNGANO
NA PASCAL KABOMBE Ligi ya Muungano ilianza rasmi mwaka 1982 lengo ni kudumisha Muungano wetu na kutoa usawa wa kiuwakilishi katika mich...saidallymwandike.blogspot.com
Hiyo Wikipedia sio reliable, nimekuwekea uchambuzi wa Paschal Kabombe mtangazaji wa Azam media kaelezea tofauti ya ligi ya Muungano na ligi ya Tanzania bara. Majimaji hajawahi kuwa bingwa wa Tanzania bara bali alikuwa bingwa wa Muungano mara tatu.Angalia hapo kwenye kipengele cha Achievement;
View attachment 2082870
Wewe jamaa hujui hata kusoma Wikipedia. Wikipedia ukienda chini kuna references. Ujifunze kusoma Wikipedia.Hiyo Wikipedia sio reliable, nimekuwekea uchambuzi wa Paschal Kabombe mtangazaji wa Azam media kaelezea tofauti ya ligi ya Muungano na ligi ya Tanzania bara. Majimaji hajawahi kuwa bingwa wa Tanzania bara bali alikuwa bingwa wa Muungano mara tatu.
Sasa utachagua ukomae na wiki yako ambayo hata mimi hiyo page nina uwezo wa kui modify au usome hizo nakala kutoka kwa waandishi wa habari wa michezo wa Tanzania.
Nukuu ya Paschal link ya Kwanza.
"Ligi ya Muungano ilianza rasmi mwaka 1982 lengo ni kudumisha Muungano wetu na kutoa usawa wa kiuwakilishi katika michuano ya kimataifa ya vilabu, hii ni kutokana na Tanzania bara kuwa na ligi yake na Zanzibar kuwa na ligi yake huku upande wa pili (Zanzibar) ukiwa sio mwanachama wa shirikisho la soka barani Africa caf, hivyo kukosa sifa ya timu zake kushiriki michuano ya vilabu bingwa africa na kombe la washindi (ilijulikana hivyo miaka hiyo). Kwa kuwepo kwa ligi ya Muungano ambayo ilikuwa inajumlisha timu 3 zilizomaliza nafasi juu kwenye ligi husika basi timu kutoka Zanzibar nazo zilipata nafasi ya kuiwakilisha Jamhuri ya Muungano kwenye michuano ya CAF. "
Hapa tuna zungumzia Tanzania bara na ligi ya Muungano.
Hivi unamjua Paschal Kabombe wa Azam Media?Wewe jamaa hujui hata kusoma Wikipedia. Wikipedia ukienda chini kuna references. Ujifunze kusoma Wikipedia.
Sasa unajua hata historia ya mashindano!? Soma historia ya mashindano Tanzania.Soma huu uchambuzi wa Paschal Kabombe wa Azam.
Majimaji alichukua ubingwa wa Muungano mara tatu na si wa Tanzania bara.![]()
MIAKA 21 YA LIGI YA MUUNGANO. MIAKA 15 BILA LIGI YA MUUNGANO
NA PASCAL KABOMBE Ligi ya Muungano ilianza rasmi mwaka 1982 lengo ni kudumisha Muungano wetu na kutoa usawa wa kiuwakilishi katika mich...saidallymwandike.blogspot.com
Soma na hii...
![]()
Maji maji FC.makala ilikotoka, hapa hilipo, inakoelekea maji maji yapania kutikisa nchi
NA ALEX MAPUNDA. Maji maji FC. Miongoni mwa Timu ...magwizamapunda.blogspot.com
Ndio ninakueleza kwamba, nenda ndani ya Wikipedia scroll mpaka chini utapata reference ya source. Kama taarifa haina reference ujue hiyo ni ya kughushi. Nenda shule kajifunze masuala ya internet and website contents.Hivi unamjua Paschal Kabombe wa Azam Media?
Mimi Wikipedia kwangu sio reliable source sababu hata ww ukiwa na acc page hiyo hiyo una edit.
Nimesoma na nimekuwekea link kutoka kwa mwandishi wa habari za michezo, sio Kanjanja ana elimu yako kutoka hapo Mlimani na yupo kwenye tasnia mda mrefu.Sasa unajua hata historia ya mashindano!? Soma historia ya mashindano Tanzania.
Brother hivi unaelimu hata ya certificate au diploma kama unayo basi ndipo utajua wiki sio source ya uhakika sana. Hata malecture wanashauri utumie vitabu kuliko wiki kwani inaweza kukuingiza chaka.Ndio ninakueleza kwamba, nenda ndani ya Wikipedia scroll mpaka chini utapata reference ya source. Kama taarifa haina reference ujue hiyo ni ya kughushi. Nenda shule kajifunze masuala ya internet and website contents.
Unadhani Wikipedia ni mbumbumbu kama wewe!!?
Acha kuishi kwa kukariri. Jifunze kufundishika.
Tunaongelea habari kutoka kwa mwandishi wa habari!!? Yeye hizo taarifa kazipata wapi!? Je, amesema kazipata wapi!? Sasa mimi nimekuwekea kutoka kwenye page ya yanga wenyewe.Nimesoma na nimekuwekea link kutoka kwa mwandishi wa habari za michezo, sio Kanjanja ana elimu yako kutoka hapo Mlimani na yupo kwenye tasnia mda mrefu.
Sasa utachagua usome au ukomae na wiki zako.
Nimekueleza acha kujichetua. Kielimu nakuzidi mbali mno. Uwezo wako wa kufikiri unajieleza wenyewe.Brother hivi unaelimu hata ya certificate au diploma kama unayo basi ndipo utajua wiki sio source ya uhakika sana. Hata malecture wanashauri utumie vitabu kuliko wiki kwani inaweza kukuingiza chaka.
Ila kwakuwa mbishi basi endelea kukomaa na wiki yako.
Unanizidi kielimu how? Kama sources unayo itegemea ni wiki basi hata elimu yako ina walakini.Nimekueleza acha kujichetua. Kielimu nakuzidi mbali mno. Uwezo wako wa kufikiri unajieleza wenyewe.
Nimekuambia nenda ndani ya Wikipedia, nenda mpaka chini watakupatia references za taarifa wanazozitoa. Ukikuta taarifa haina reference ujue huo ni ukanjanja.
Wikipedia ni mstu mkubwa unataarifa mbalimbali. Wikipedia ni kama dashboard inakupeleka kwenye website husika. Nenda kwenye references ndani ya Wikipedia utapelekwa kwenye source ya taarifa husika.
Au niongee kwa lugha ipi unielewe. Au unajifanya mjinga. Acha kukaririshwa eti Wikipedia is not reliable source. Hayo mambo na sisi tulikuwa tunayasema kipindi tukiwa wajinga kama wewe Leo.
Nimekupatia elimu ya bure chukua acha kushupaza shingo.