Yanga sio mabingwa wa kihistoria (Simba yupo 22 na Yanga pia)

Jamaa sjui kaziokota wapi hizo takwimu halafu anakuja kulisha makolo wenzie matango pori. Yani yeye muda wote anawaza kuanzisha nyuzi zihusuzo Yanga, hovyo kabisa
Huyu anakopi tu vitu kwenye mitandao ya wasiojielewa. Wanachanganya kati ya mabingwa wa muungano na mabingwa wa ligi kuu.
 
50
ILI UZIONE VIZURI ANGALIA HAPA

1965 Sunderland (Simba SC)

1966 Sunderland

1967 Cosmopolitan

1968 Young Africans

1969 Young Africans

1970 Young Africans

1971 Young Africans

1972 Young Africans

1973 Simba SC

1974 Young Africans

1975 Mseto SC

1976 Simba SC

1977 Simba SC

1978 Simba SC

1979 Simba SC

1980 Simba SC

1981 Young Africans

1982 Pan Africans

1983 Young Africans

1984 Simba SC

1985 Young Africans

1986 Tukuyu Stars

1987 Young Africans

1988 Coastal Union

1989 Young Africans

1990 Simba SC

1991 Young Africans

1992 Young Africans

1993 Young Africans

1994 Simba SC

1995 Simba SC

1996 Young Africans

1997 Young Africans

1998 Young Africans

1999 Mtibwa Sugar

2000 Mtibwa Sugar

2001 Simba SC

2002 Young Africans Sc

2003 Simba SC

2004 Simba SC

2005 Young Africans Sc

2006 Young Africans Sc

2007 Simba SC

2007/08 Young Africans Sc

2008/09 Young Africans Sc

2009/2010 Simba SC

2010/2011 Young Africans

2011/2012 Simba SC

2012/2013 Young Africans

2013/2014 Azam

2014/2015 Young Africans

2015/ 2016 Young Africans

2016/ 2017 Young Africans

2017/ 2018 Simba

2018-19 Simba

2019-20 Simba

2020-21 Simba
21-22 ???
Bingwa wa mwaka 1985, 1986 na 1998 ni Maji maji ya Songea.
 
Soma huu uchambuzi wa Paschal Kabombe wa Azam.
Majimaji alichukua ubingwa wa Muungano mara tatu na si wa Tanzania bara.

Soma na hii...
 
Angalia hapo kwenye kipengele cha Achievement;
Screenshot_20220115-235701.jpg

Hawajaandika Muungano hapo.
 
Makolo yanahangaika kufuta historia tamu ya vijana wa jangwani
 
Angalia hapo kwenye kipengele cha Achievement;
View attachment 2082870
Hiyo Wikipedia sio reliable, nimekuwekea uchambuzi wa Paschal Kabombe mtangazaji wa Azam media kaelezea tofauti ya ligi ya Muungano na ligi ya Tanzania bara. Majimaji hajawahi kuwa bingwa wa Tanzania bara bali alikuwa bingwa wa Muungano mara tatu.

Sasa utachagua ukomae na wiki yako ambayo hata mimi hiyo page nina uwezo wa kui modify au usome hizo nakala kutoka kwa waandishi wa habari wa michezo wa Tanzania.

Nukuu ya Paschal link ya Kwanza.
"Ligi ya Muungano ilianza rasmi mwaka 1982 lengo ni kudumisha Muungano wetu na kutoa usawa wa kiuwakilishi katika michuano ya kimataifa ya vilabu, hii ni kutokana na Tanzania bara kuwa na ligi yake na Zanzibar kuwa na ligi yake huku upande wa pili (Zanzibar) ukiwa sio mwanachama wa shirikisho la soka barani Africa caf, hivyo kukosa sifa ya timu zake kushiriki michuano ya vilabu bingwa africa na kombe la washindi (ilijulikana hivyo miaka hiyo). Kwa kuwepo kwa ligi ya Muungano ambayo ilikuwa inajumlisha timu 3 zilizomaliza nafasi juu kwenye ligi husika basi timu kutoka Zanzibar nazo zilipata nafasi ya kuiwakilisha Jamhuri ya Muungano kwenye michuano ya CAF. "

Hapa tuna zungumzia Tanzania bara na ligi ya Muungano.
 
Wewe jamaa hujui hata kusoma Wikipedia. Wikipedia ukienda chini kuna references. Ujifunze kusoma Wikipedia.
Kwenye Wikipedia utaona vinamba namba vimeamdikwa hivyo vinaeleza references. Nenda shule utopolo wewe.
 
Wewe jamaa hujui hata kusoma Wikipedia. Wikipedia ukienda chini kuna references. Ujifunze kusoma Wikipedia.
Hivi unamjua Paschal Kabombe wa Azam Media?

Mimi Wikipedia kwangu sio reliable source sababu hata ww ukiwa na acc page hiyo hiyo una edit.
 
Soma huu uchambuzi wa Paschal Kabombe wa Azam.
Majimaji alichukua ubingwa wa Muungano mara tatu na si wa Tanzania bara.

Soma na hii...
Sasa unajua hata historia ya mashindano!? Soma historia ya mashindano Tanzania.
 
Hivi unamjua Paschal Kabombe wa Azam Media?

Mimi Wikipedia kwangu sio reliable source sababu hata ww ukiwa na acc page hiyo hiyo una edit.
Ndio ninakueleza kwamba, nenda ndani ya Wikipedia scroll mpaka chini utapata reference ya source. Kama taarifa haina reference ujue hiyo ni ya kughushi. Nenda shule kajifunze masuala ya internet and website contents.

Unadhani Wikipedia ni mbumbumbu kama wewe!!?
Acha kuishi kwa kukariri. Jifunze kufundishika.
 
Sasa unajua hata historia ya mashindano!? Soma historia ya mashindano Tanzania.
Nimesoma na nimekuwekea link kutoka kwa mwandishi wa habari za michezo, sio Kanjanja ana elimu yako kutoka hapo Mlimani na yupo kwenye tasnia mda mrefu.

Sasa utachagua usome au ukomae na wiki zako.
 
Ndio ninakueleza kwamba, nenda ndani ya Wikipedia scroll mpaka chini utapata reference ya source. Kama taarifa haina reference ujue hiyo ni ya kughushi. Nenda shule kajifunze masuala ya internet and website contents.

Unadhani Wikipedia ni mbumbumbu kama wewe!!?
Acha kuishi kwa kukariri. Jifunze kufundishika.
Brother hivi unaelimu hata ya certificate au diploma kama unayo basi ndipo utajua wiki sio source ya uhakika sana. Hata malecture wanashauri utumie vitabu kuliko wiki kwani inaweza kukuingiza chaka.

Ila kwakuwa mbishi basi endelea kukomaa na wiki yako.
 
Nimesoma na nimekuwekea link kutoka kwa mwandishi wa habari za michezo, sio Kanjanja ana elimu yako kutoka hapo Mlimani na yupo kwenye tasnia mda mrefu.

Sasa utachagua usome au ukomae na wiki zako.
Tunaongelea habari kutoka kwa mwandishi wa habari!!? Yeye hizo taarifa kazipata wapi!? Je, amesema kazipata wapi!? Sasa mimi nimekuwekea kutoka kwenye page ya yanga wenyewe.

Sasa kati ya mwandishi wa habari na Yanga ni source ipi ya kuaminika!?
Screenshot_20220115-185247.png
 
Brother hivi unaelimu hata ya certificate au diploma kama unayo basi ndipo utajua wiki sio source ya uhakika sana. Hata malecture wanashauri utumie vitabu kuliko wiki kwani inaweza kukuingiza chaka.

Ila kwakuwa mbishi basi endelea kukomaa na wiki yako.
Nimekueleza acha kujichetua. Kielimu nakuzidi mbali mno. Uwezo wako wa kufikiri unajieleza wenyewe.

Nimekuambia nenda ndani ya Wikipedia, nenda mpaka chini watakupatia references za taarifa wanazozitoa. Ukikuta taarifa haina reference ujue huo ni ukanjanja.

Wikipedia ni mstu mkubwa unataarifa mbalimbali. Wikipedia ni kama dashboard inakupeleka kwenye website husika. Nenda kwenye references ndani ya Wikipedia utapelekwa kwenye source ya taarifa husika.

Au niongee kwa lugha ipi unielewe. Au unajifanya mjinga. Acha kukaririshwa eti Wikipedia is not reliable source. Hayo mambo na sisi tulikuwa tunayasema kipindi tukiwa wajinga kama wewe Leo.

Nimekupatia elimu ya bure chukua acha kushupaza shingo.
 
Unanizidi kielimu how? Kama sources unayo itegemea ni wiki basi hata elimu yako ina walakini.
 
Back
Top Bottom