OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hawa Utopolo Simba ilipomuuza Chama walipiga domo sana,kwamba Simba imeuza mchezaji muhimu. Sasa limetokea la kutokea leo wanasema Chama amefulia ndo maana amerudi. Hawa ni haters, chuki za kichawi. Mchawi huwa anachukia bila sababu.
🚨Moja ya sababu kubwa zaidi ukiachana na yeye kutoendana na maisha Berkane ilikuwa pia watoto wake kukaa nao mbali hakuwa tayari
🚨Berkane walitaka kwenda kumpa Makazi Jijini Casablanca ambapo ilikuwa mwendo wa Masaa sita kutoka Berkane mpaka Casablanca hivyo bado aliona Kuna umbali Mkubwa
🚨Berkane walifanya Kila kitu kumbakisha Triple C ila haikuwezekana na mara zote aliomba kuondoka na Simba ndio ilikuwa jibu lake
📌Kwa wanaoamini Chama ameisha basi mkumbuke kuwa mechi ya mwisho alikuwa Man of the match na kiwango bora sana ikiwa ni muda mchache baada ya kutoka kwenye majeraha.