ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 6,096
- 16,390
Katika siku mbili hizi kumekuwa na mjadara na gunzo kubwa kutokana na Yanga kunyimwa goli dhidi ya Mamelod ambalo wenda lingeweza kuivusha kwenda nusu fainal ya club bingwa Africa.
Kwanza mm mwenyewe ni kili kuwa lile lilikuwa goli halali kwa uono wangu na Yanga walinyimwa goli, lakini hili tukio linakuzwa sana kupita uhalisia.
Yaani hilo tukio linavyo ongelewa utadhani ni tukio la kwanza na halijawahi kutokea tangu mpira wa miguu uwepo hapa duniani.
Kwanza tukio hilo sio tukio la kwanza lenye utata na wala halitakuwa tukio mwisho lenye utata kweywe mpira wa miguu ,matukio yenye utata kwenye soka ni mengi sana duniani kote ikiwemo Tz ,na moja wapo ya wanufaika wakubwa wa maamuzi ya hovyo ya marefa ndani ya nchi hii ni nyinyi wenyewe Yanga.
Yanga songeni mbele mgange yajayo na mjipange msimu ujao acheni ushamba , kama ambavyo Mamelod alivyo nufaika na nyinyi kuumizwa na maamuzi mabovu ya marefa ,ndivyo na nyinyi mmekuwa mkinufaika na maamuzi ya hovyo ya marefa na kuziumiza timu nyingine hasa hapa kwenye ligi yetu.
Acheni kukuza mambo kana kwamba nyinyi ni watakatifu sana na kana kwamba nyinyi timu yenu haijawahi kunufaika na makosa ya waamuzi.
Hapa duniani kila timu ilisha nufaika na kuumizwa na maamuzi yenye utata wa waamuzi nyinyi sio wa kwanza na wala hamtakuwa wa mwisho.