Yanga songeni mbele acheni ushamba

Yanga songeni mbele acheni ushamba

Screenshot_20240406-155730_Facebook.jpg
 
Katika siku mbili hizi kumekuwa na mjadara na gunzo kubwa kutokana na Yanga kunyimwa goli dhidi ya Mamelod ambalo wenda lingeweza kuivusha kwenda nusu fainal ya club bingwa Africa.

Kwanza mm mwenyewe ni kili kuwa lile lilikuwa goli halali kwa uono wangu na Yanga walinyimwa goli, lakini hili tukio linakuzwa sana kupita uhalisia.

Yaani hilo tukio linavyo ongelewa utadhani ni tukio la kwanza na halijawahi kutokea tangu mpira wa miguu uwepo hapa duniani.

Kwanza tukio hilo sio tukio la kwanza lenye utata na wala halitakuwa tukio mwisho lenye utata kweywe mpira wa miguu ,matukio yenye utata kwenye soka ni mengi sana duniani kote ikiwemo Tz ,na moja wapo ya wanufaika wakubwa wa maamuzi ya hovyo ya marefa ndani ya nchi hii ni nyinyi wenyewe Yanga.

Yanga songeni mbele mgange yajayo na mjipange msimu ujao acheni ushamba , kama ambavyo Mamelod alivyo nufaika na nyinyi kuumizwa na maamuzi mabovu ya marefa ,ndivyo na nyinyi mmekuwa mkinufaika na maamuzi ya hovyo ya marefa na kuziumiza timu nyingine hasa hapa kwenye ligi yetu.

Acheni kukuza mambo kana kwamba nyinyi ni watakatifu sana na kana kwamba nyinyi timu yenu haijawahi kunufaika na makosa ya waamuzi.
Hapa duniani kila timu ilisha nufaika na kuumizwa na maamuzi yenye utata wa waamuzi nyinyi sio wa kwanza na wala hamtakuwa wa mwisho.
Wewe ni mpumbavu, unalinganisha matukio yenye teknolojia na yasiyokuwa nayo. Marefa wa Yanga angalau wana pa kujificha sasa huyu wa Mamelodi ana VAR lakini hakutaka kuitumia!
 
Wewe ni mpumbavu, unalinganisha matukio yenye teknolojia na yasiyokuwa nayo. Marefa wa Yanga angalau wana pa kujificha sasa huyu wa Mamelodi ana VAR lakini hakutaka kuitumia!
Basi rudisheni magoli na point mlizo dhulumu kwa makosa ta marefa.
 
Kuwa na aibu! Nitajie tukio lingine hapa duniani ambapo refa anaenda kuangaliaa VAR ili kuipa redcard timu moja, halafu timu hiyo hiyo inapofunga goli lenye utata, anagoma kwenda kuangalia VAR. Ukinitajia, najitoa JF.
This is a very serious crime! Jambo kama hili linatosha kuifannya nchi kujivua uanachama wa CAF! Kuna haja gani sasa ya kushiriki hayo mashindano kama washindi wameshapangwa?!
1. Mechi ya Orlando Vs Simba Kwame Peprah anafunga goli akiwa clearly offside refa anakataa kwenda kuangalia VAR,

2. Mechi ya Wydad Vs Simba, Baleke anafunga goli halali refa anaenda kuangalia VAR bila kureview kwa watazamaji, anatoka hapo anasema sio goli.

3. Mechi ya Yanga Vs Azam, mpira unatoka nje na refa kaona lakini yanga wanaurudisha mpira ndani na kufunga goli la kusawazisha, mechi inaisha 2-2 msimu uliopita

4. Yanga anafungwa goli, mpira unaingia nyavuni kwa yanga lakini refa anasema ni kona, unakumbuka yanga alicheza na nani mechi hiyo?

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: ITR
Ila CCM imeharibu Watanzania wengi. Mtu unamchukia Mtu anayedai haki yake? Kama Kagera aalionewa, Yanga waliizuia Kagera kulalamika? Yaani Kwa vile Jana ulimpiga mkeo na hakushitaki Kwa balozi, kesho ukipigwa jirani hupaswi kumshitaki Polisi? Akili gani hizi za ovyo? Kwa hiyo unategemea CAF wataamua kulingana na matukio aliyowahi kufaidika nayo Yanga?
Tulizeni vishuzi fixture ya nusu fainali imeshatoka na nyie hammo.
 
Kuwa na aibu! Nitajie tukio lingine hapa duniani ambapo refa anaenda kuangaliaa VAR ili kuipa redcard timu moja, halafu timu hiyo hiyo inapofunga goli lenye utata, anagoma kwenda kuangalia VAR. Ukinitajia, najitoa JF.
This is a very serious crime! Jambo kama hili linatosha kuifannya nchi kujivua uanachama wa CAF! Kuna haja gani sasa ya kushiriki hayo mashindano kama washindi wameshapangwa?!
Sasa ndio utata wenyewe huo,wewe unataka utata gani
 
Back
Top Bottom