Yanga songeni mbele acheni ushamba

Kwani Simba umemsikia analalamika?
Tatizo lipo kwenu nyinyi ambao mapovu yanatokana utadhani nyinyi hamjawahi kunufaika na maamuzi mabovu ya refa.
Kwani walikatazwa kwenda kwenye Sheria?. Fety fc tulizen vijambio mmekojozwa nje ndani kaaeni muangalie wanaume wanapambana.
 
Hakukuwa na haja ya kuandika hata hiyo barua maana na wao ni wanufaika wakubwa wa maamuzi mabovu ya marefa.
Ila CCM imeharibu Watanzania wengi. Mtu unamchukia Mtu anayedai haki yake? Kama Kagera aalionewa, Yanga waliizuia Kagera kulalamika? Yaani Kwa vile Jana ulimpiga mkeo na hakushitaki Kwa balozi, kesho ukipigwa jirani hupaswi kumshitaki Polisi? Akili gani hizi za ovyo? Kwa hiyo unategemea CAF wataamua kulingana na matukio aliyowahi kufaidika nayo Yanga?
 
Hao wajinga wajinga.

Wachezaji wao watatu wamekosa penalt.

Stev Azizi ki.
Dicson Job.
Ibrahim Ahmad (Bakayoko).
 
Kwani walikatazwa kwenda kwenye Sheria?. Fety fc tulizen vijambio mmekojozwa nje ndani kaaeni muangalie wanaume wanapambana.
Wao sio washamba kama nyinyi maana wanajua kuwa malalamiko hayawezi kubadilisha matokeo.
 
Hujitambui kweli wewe, ni haki ya Yanga kikatiba kutoa malalamiko yao CAF kwa sababu wanaamini hawajatendewa haki. Refa alitakiwa kuangalia screen ili kujiridhisha kama goli au sio.

Hii inasaidia maamuzi yajayo yafanyike kwa haki, watu wanaamini kulikuwa na fixing kwenye mechi hiyo wewe upo busy wagange yajayo.
 
Huwezi kulalamika kudhurumiwa hali yakuwa ww ndo mdhurumaji mkubwa.
 
Jambo kama hili linatosha kuifannya nchi kujivua uanachama wa CAF!
Yaani nchi ijivue uanachama kwa sababu ya hicho kigoli kilichokataliwa?

Tuseme mlinyimwa goli, lakini mlipewa penati tena 5 na mkashindwa kutoboa bado tu mnalalamika mmeonewa.

Mlipaswa mjiondoe dakika ile ile baada ya goli kukataliwa, hili la kujiondoa baada ya kukosa penati mlizopewa ni utoto huo.

Ndivyo walivyo akina Mwakarobo junior 😂😂
 
Yanga mpaka sasa imevuna point ngapi kwenye ligi kuu kwa sababu ya makosa ya marefa ?
 
Utopolo mjivue nyie sisi kama nchi hatuhusiki
 
Aliyewaita mbumbumbu mashabiki wa aina hii, hakika aliwaza mbali sana.
Unadhani Mamelody Sundowns wenyewe wangekubali huo upumbavu wa dhuluma ya wazi kabisa na kukaa kimya tu, mbumbumbu ni janga jingine TZ ukitoa ujinga, maradhi, umaskini na rushwa.

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
 
Makolokolo pambaneni na hali zenu, sherehe si zenu mnaenda kuzivalia madera, vijora, kanga 1 na kuanza kuimba taarabu na singeli huku mkitubinulia Yanga makalio.

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
 
Mbumbu ni nyinyi ambao mmekomalia goli la Mamelod hali ya kuwa nyinyi mmesha dhurumu magoli ya timu zingine na kuchota point za bure.
Dhurumu = Dhulumu, ulienda shuleni kusomea ujinga?

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…