Yanga songeni mbele acheni ushamba

Wewe ni mpumbavu, unalinganisha matukio yenye teknolojia na yasiyokuwa nayo. Marefa wa Yanga angalau wana pa kujificha sasa huyu wa Mamelodi ana VAR lakini hakutaka kuitumia!
 
Wewe ni mpumbavu, unalinganisha matukio yenye teknolojia na yasiyokuwa nayo. Marefa wa Yanga angalau wana pa kujificha sasa huyu wa Mamelodi ana VAR lakini hakutaka kuitumia!
Basi rudisheni magoli na point mlizo dhulumu kwa makosa ta marefa.
 
1. Mechi ya Orlando Vs Simba Kwame Peprah anafunga goli akiwa clearly offside refa anakataa kwenda kuangalia VAR,

2. Mechi ya Wydad Vs Simba, Baleke anafunga goli halali refa anaenda kuangalia VAR bila kureview kwa watazamaji, anatoka hapo anasema sio goli.

3. Mechi ya Yanga Vs Azam, mpira unatoka nje na refa kaona lakini yanga wanaurudisha mpira ndani na kufunga goli la kusawazisha, mechi inaisha 2-2 msimu uliopita

4. Yanga anafungwa goli, mpira unaingia nyavuni kwa yanga lakini refa anasema ni kona, unakumbuka yanga alicheza na nani mechi hiyo?

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
 
Reactions: ITR
Tulizeni vishuzi fixture ya nusu fainali imeshatoka na nyie hammo.
 
Sasa ndio utata wenyewe huo,wewe unataka utata gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…