Yanga timu mbovu haiwezi kushinda bila timu pinzani kupewa kadi nyekundu. Simba timu bora imeshinda bila nyekundu

Nina mashaka na timu yangu ya utopolo a.k.a nyuma mwiko a.k.a kayoko fc kwanini hatuwezi kushinda bila kadi nyekundu?

Mbona wenzetu simba wanashinda bila kadi nyekundu? Hivi kweli tunaweza kumfunga MC Alger au Al Hilal? Au Al Ahly au Esperance? Mi namchukia sana injinia wa mchongo Hersi kwa kuwahonga magoli kipa na marefarii.

Soma Pia: Yanga SC 2 - 0 JKT Tanzania | NBC Premierleague | Azam Complex | 22.10.2024
Punguza makasiliko,
Yanga mbele daima Nyuma mwiko 🤪
 
bila kadi nyekundu hawashindi kabisa awa yani ni weupe na gemu ya leo wamechezewa mpila mpaka aibu.
 
hivi kimataifa wapinzani wasipopewa kadi nyekundu tutashinda kweli?
Ya aziza ki yatajirudia na safar hii watalia zaid kwa kwikwi mamaeh. Eti droo inapangwa wao wanashangilia kama majinga na mapumbavu kwamba hizo timu zitaenda uwanjani kuwapanulia magoli wafunge
 
bila kadi nyekundu hawashindi kabisa awa yani ni weupe na gemu ya leo wamechezewa mpila mpaka aibu.
Jkt wako vizur sana ,,timu ambazo yule basha wao gsm hazifazili ndio hua wanadivert wanawapa hongo marefa..
 
Yanga ubovu wake utaonekana soon, tusubirini champion league
 
Nina mashaka na timu yangu ya utopolo a.k.a nyuma mwiko a.k.a kayoko fc kwanini hatuwezi kushinda bila kadi nyekundu?

Mbona wenzetu simba wanashinda bila kadi nyekundu? Hivi kweli tunaweza kumfunga MC Alger au Al Hilal? Au Al Ahly au Esperance? Mi namchukia sana injinia wa mchongo Hersi kwa kuwahonga magoli kipa na marefarii.

Soma Pia: Yanga SC 2 - 0 JKT Tanzania | NBC Premierleague | Azam Complex | 22.10.2024
Mc Alger nayo ya wapi hii au hii timu iko kwenye kundi lenu sisi hatuna timu ya namna hiyo ujue nyie makolo na akili zenu mnazijua wenyewe tu.
 
Kichapo kimekuharibu akili; tulia kuandika comment hadi akili irudi tena kuwa sawa
 
Mc Alger nayo ya wapi hii au hii timu iko kwenye kundi lenu sisi hatuna timu ya namna hiyo ujue nyie makolo na akili zenu mnazijua wenyewe tu.
siku watakayokupakata kwa mkapa utawajua tu kayoko fc, fundi zougrana atakapokuja kuwafundisha aziza na kajala a.k.a pacome mpira utawajua tu.
 
Back
Top Bottom