Village-in
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 2,184
- 4,517
YANGA hawana habari na kikundi cha taarabu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je tarehe 19 simba walikuwa na kadi ngapiNina mashaka na timu yangu ya utopolo a.k.a nyuma mwiko kayoko fc kwanini hatuwezi kushinda bila kadi nyekundu?
Mbona wenzetu simba wanashinda bila kadi nyekundu? Hivi kweli tunaweza kumfunga MC Alger au Al Hilal? Au Al Ahly au Esperance? Mi namchukia sana injinia wa mchongo Hersi kwa kuwahonga magoli kipa na marefarii.
Soma Pia: Yanga SC 2 - 0 JKT Tanzania | NBC Premierleague | Azam Complex | 22.10.2024
Punguza makasiliko,Nina mashaka na timu yangu ya utopolo a.k.a nyuma mwiko a.k.a kayoko fc kwanini hatuwezi kushinda bila kadi nyekundu?
Mbona wenzetu simba wanashinda bila kadi nyekundu? Hivi kweli tunaweza kumfunga MC Alger au Al Hilal? Au Al Ahly au Esperance? Mi namchukia sana injinia wa mchongo Hersi kwa kuwahonga magoli kipa na marefarii.
Soma Pia: Yanga SC 2 - 0 JKT Tanzania | NBC Premierleague | Azam Complex | 22.10.2024
Bila shaka wewe ni mangungu hii ni ID Yako🖐️ndo sijajua kama kimataifa kayoko atachezesha. Kwasababu bila kayoko au kadi nyekundu kushinda ni kazi.
Kwaio wewe ni mmoja wa wake wadogo wa anaepiga baoMke mkubwa ana wivu anataka awe anapigwa bao peke yake
Ya aziza ki yatajirudia na safar hii watalia zaid kwa kwikwi mamaeh. Eti droo inapangwa wao wanashangilia kama majinga na mapumbavu kwamba hizo timu zitaenda uwanjani kuwapanulia magoli wafungehivi kimataifa wapinzani wasipopewa kadi nyekundu tutashinda kweli?
Jkt wako vizur sana ,,timu ambazo yule basha wao gsm hazifazili ndio hua wanadivert wanawapa hongo marefa..bila kadi nyekundu hawashindi kabisa awa yani ni weupe na gemu ya leo wamechezewa mpila mpaka aibu.
Una akili ndogo huwezi elewa nnacho ongeaKwaio wewe ni mmoja wa wake wadogo wa anaepiga bao
Kolo katika ubora wako.Nina mashaka na timu yangu ya utopolo a.k.a nyuma mwiko a.k.a kayoko fc kwanini hatuwezi kushinda bila kadi nyekundu?
Mbona wenzetu simba wanashinda bila kadi nyekundu? Hivi kweli tunaweza kumfunga MC Alger au Al Hilal? Au Al Ahly au Esperance? Mi namchukia sana injinia wa mchongo Hersi kwa kuwahonga magoli kipa na marefarii.
Soma Pia: Yanga SC 2 - 0 JKT Tanzania | NBC Premierleague | Azam Complex | 22.10.2024
Mc Alger nayo ya wapi hii au hii timu iko kwenye kundi lenu sisi hatuna timu ya namna hiyo ujue nyie makolo na akili zenu mnazijua wenyewe tu.Nina mashaka na timu yangu ya utopolo a.k.a nyuma mwiko a.k.a kayoko fc kwanini hatuwezi kushinda bila kadi nyekundu?
Mbona wenzetu simba wanashinda bila kadi nyekundu? Hivi kweli tunaweza kumfunga MC Alger au Al Hilal? Au Al Ahly au Esperance? Mi namchukia sana injinia wa mchongo Hersi kwa kuwahonga magoli kipa na marefarii.
Soma Pia: Yanga SC 2 - 0 JKT Tanzania | NBC Premierleague | Azam Complex | 22.10.2024
Kichapo kimekuharibu akili; tulia kuandika comment hadi akili irudi tena kuwa sawaNina mashaka na timu yangu ya utopolo a.k.a nyuma mwiko a.k.a kayoko fc kwanini hatuwezi kushinda bila kadi nyekundu?
Mbona wenzetu simba wanashinda bila kadi nyekundu? Hivi kweli tunaweza kumfunga MC Alger au Al Hilal? Au Al Ahly au Esperance? Mi namchukia sana injinia wa mchongo Hersi kwa kuwahonga magoli kipa na marefarii.
Soma Pia: Yanga SC 2 - 0 JKT Tanzania | NBC Premierleague | Azam Complex | 22.10.2024
siku watakayokupakata kwa mkapa utawajua tu kayoko fc, fundi zougrana atakapokuja kuwafundisha aziza na kajala a.k.a pacome mpira utawajua tu.Mc Alger nayo ya wapi hii au hii timu iko kwenye kundi lenu sisi hatuna timu ya namna hiyo ujue nyie makolo na akili zenu mnazijua wenyewe tu.
ficha hi I aibuNina mashaka na timu yangu ya utopolo a.k.a nyuma mwiko a.k.a kayoko fc kwanini hatuwezi kushinda bila kadi nyekundu?