Yanga tofautisheni kati ya Azam na Azam FC

Mimi ni mshabiki wa Yanga. Ila sikubaliani na hao viongozi wa matawi.

Kiufupi hoja zao hazina mashiko.
 
Uzuri bidhaa zote Zina nembo, ni rahisi kui target. Mfano Kuna mtu hatumii kabisa mo energy.
unanunua mkate wa kula,chapati au andazi kwa mama Side limetengenezwa kwa ngano ya Azam uwezi kujua,hapo tyr ushanunua sehemu ya bidhaa za Azam.ni ngumu kukwepa kwanza masikini hana uchaguzi atakacho kipata anakula au kunywa.

huna kitu alafu unamvimbia mwenye nacho,Azam akiwaandalia mchele wa Basmat wa biriani ya kuku na bahasha za nauli hao wazee wanaenda wanasahau kama kuna Yanga yao😂

kagua maneno ya Manara kwenye hili sakata hukuti mahala ana wa attack Azam kwa maneno makalk kama alivyokawaida yake,kwanini unajua?,,anakula pesa kule awezi kutoa shombo kwa Azam kwenye hili sakata la Fei.
 
Binafsi natumia Dstv na Startimes, na ukiongelea bidhaa za Azzam ziko replaced na Azania group na Metl.

Likipita azimio la Boycott atakayeumia ni Azzam, Yanga inaweza kuvunja mkataba na Azzam kama watu wa Simba mnavyoona mkataba si lolote, tukasaini mkataba na Dstv.
Unazungimzia hawa Dstv walioshindana na Azam Tv na Star Times kuonyesha NBC Premier League wakashindwa?

Ni vizuri pia ufahamu haitawezekana kwa Dstv kuidhamini timu yoyote inayoshiriki ligi kuu ambayo inadhaniniwa na mshindani wake, Azam.

Vv
 
Ety nisile/kunywa bidhaa za azam or nisinunue dish la Azam kisa walitaka kumsajili feisal. Mimi ni mwananchi lakini SIO UTOPOLO Wala SIO MLA MOHOGO!
Maslahi ya mchezaji Ni muhimu kuliko fame!
 
Na wewe utasusia?
Ni rahisi TU kusema sinunui maji ya uhai, kwisha. Lakini tusifike huko. Takukuru itusaidie kujua ni nani kampa Fei 112m za kuvunjia mkataba ili aadhibiwe badala ya kususia bidhaa. Maana kuzungumza na mchezaji wa timu nyingine mojo kwa moja bila club yake ni kosa. Tuone transfer ya hela kwenda account ya Yanga ilifanywa nani kutoka account ya nani kwenye benk ipi. Nina uhakika kuwa Fei hawezi kuwa na 112m za kuilipa Yanga.
 
Mkuu, mkataba ni maridhiano ya pande mbili. Au unafikiri ukiitaka kampuni na yenyewe automatically inakutaka? Nani amekwambia DSTV wanapenda kufanya mkataba na Yanga? 😆😆😆
Du hakuna kampuni ambayo haitaki kutangazwa na Simba na Yanga, wanashindwa bei TU,
 
Nimewasikia wanachama na mashabiki wa Yanga wakihamasishana kususia bidhaa zote za Azam kulipiza vîtendo vya Azam fc kutumia nguvu ya fedha kurubuni wachezaji wake wake muhimu. Waliwataja akina Ngoma, domayo, chirwa, mbui, Ngassa na Sasa Faisal.

Sina uhakika kama Azam fc inapokea maagizo kutoka kwa Mzee bakhressa kwenye Soka au ni viongozi TU wa Azam fc wanaofanya hivyo.

Tatizo ni kwamba ukiikwepa bidhaa ya Azam utakutana na Ile ya mo. Tabu inabakia palepale. Ligi inaonyeshwa Azam tv TU baasi.

Dawa pekee ni:
1. Kuwalipa vizuri wachezaji
2. Kuangalia vizuri vifungu kwenye mikataba ya wachezaji wenu.
3. Kuwashitaki wote wanaowarubuni wachezaji wenu kinyume na utaratibu.

Kuvunja mkataba wa matangazo na kususia bidhaa kutawaumiza sio TU Azam bali hata Yanga na wapenzi wa Yanga wenye ajira Azam..
Ni lini wana Yanga SC wamewahi Kumiliki Akili?
 
Kususia bidhaa ni jambo gumu sana na linaloweza kukitimiza hata wewe unaesusia. Kususia bidhaa yenye radha, bei, ajira na usambazaji uliozoea ni jambo gumu. Hata Ulaya wanateseka sana Sasa hivi kwa kususia bidhaa za urusi, sio kazi rahisi. Mafuta, gesi, mabenki na makampuni ya kirusi yaliajili wazungu wengi sana Europe, bei za gesi na mafuta ya urusi ilikuwa rahisi na upatikanaji wake ilikuwa kama kufungua bomba la maji, Leo hii hali ni ngumu kule. Yaani Fei toto TU? Who is Fei toto?

Azam company linayomiliki biashara/taasisi zote za Azam lazima iwachukulie hatua viongozi wa Azam fc kwa kusababisha sakata hili la kipuuzi ambalo linaweza kusababisha yafuatayo:
1. Kishusha uwaminifu wa Azam na bidhaa zake.
2. Wachezaji wa kizanzibar kukosa kuaminiwa na timu za Bara
3. Kushuka kwa mauzo, Yanga ni timu kubwa sana yenye watu wengi sana, sio vema kuwaudhi kwa makusudi kama ivi. Watu wanatafsiri kuwa uzanzibar umetumika zaidi kuliko weledi.
 
Wazee wa Yanga wapuuzwe akili hawana
Ni kweli, lakini tuwasaidie kujuwa ni nani amempa Fei 112m za kuvunjia mkataba wake? Kwasababu hasira ingekuwa na vurugu zingekuwa kubwa na mbaya sana kama Yanga ingefungwa na Azam kwenye mechi Ile ambayo Fei alikosekana, Huenda uharibifu kwa mali za Azam ungekuwa mkubwa sana, mpira una nguvu nyingi sana zisizozuilika. Tuwaombe Azam wasifanye masihala ya kipuuzi kwa Simba na Yanga Iko siku watajutia hela zao. Serikali lazima iwaonye viongozi wa Azam fc kwa kuichezea amani. Mchezaji kuhamia timu nyingine sio tabu bali tabu ni pale uhamaji unapofanywa kwa misingi ya fedha, ukabila, udini na ukanda.
 
Shida ya Azam fc wanazo pesa lakini hawana uongozi madhubuti wa mpira. Hata aende mchezaji na kocha gani pale matokeo yatabaki yaleyale. Akina Bocco, kapombe, Nyoni, Sure boy, manula walikuwa Azam lakini Azam ikabaki na matokeo yaleyale. Hata Fei akienda Azam kila mtu atamhurumia, atakuwa na pesa lakini sio heshima. Dube, Kipre, Bajana kama wangekuwa Simba au Yanga habari Yao ingekuwa kubwa sana.
Uwe maarufu halafu pesa hauna?
Ni bora nisijulikane na mtu yoyote hata media zisinijui niwe pesa kuliko kuwa maarufu halafu pesa hakuna.
Kumbuka wachezaji ni wafanyakazi kama wafanyakazi wengine kwenye kampuni yoyote.
Anapokuwa kwenye timu usifikiri anaipenda sana hiyo timu, yupo kwaajili ya hela tu.
Mfano hai Messi. PSG wameweka mpunga wa kutosha ameiacha Barcelona
 
Ni kweli, lakini tuwasaidie kujuwa ni nani amempa Fei 112m za kuvunjia mkataba wake? Kwasababu hasira ingekuwa na vurugu zingekuwa kubwa na mbaya sana kama Yanga ingefungwa na Azam kwenye mechi Ile ambayo Fei alikosekana, Huenda uharibifu kwa mali za Azam ungekuwa mkubwa sana, mpira una nguvu nyingi sana zisizozuilika. Tuwaombe Azam wasifanye masihala ya kipuuzi kwa Simba na Yanga Iko siku watajutia hela zao. Serikali lazima iwaonye viongozi wa Azam fc kwa kuichezea amani. Mchezaji kuhamia timu nyingine sio tabu bali tabu ni pale uhamaji unapofanywa kwa misingi ya fedha, ukabila, udini na ukanda.
Mpira bila hekima utaishia kuharibu timu hata kufungiwa. Wakiharibu mali unafikiri hasara kwa nani? Si huwa unaangalia mpira wa nje jinsi mashabiki wa timu fulani wanapofanya fujo?
1. Mnaweza kufungiwa kutoingia uwanjani hata miaka 3
2. Timu itapigwa faini, italipa gharama kulingana na hasara itakayopatikana.
Msije mkathubutu kufanya hivyo
N.B
Kumbuka, mchezaji ni mfanyakazi wa timu kama mfanyakazi wa kampuni zingine. Kitendo cha kuandamana kisa mchezaji kutaka kuondoka ni matumizi mabaya ya akili.
 
Wewe unaongelea matukio ya kwenye uwanja, lakini yako matukio ya nje ya uwanja huko kariakoo, magomeni, keko, na mfaranyaki ambako madeli ya ice cream yanatembezwa.
 
Nimewasikia wanachama na mashabiki wa Yanga wakihamasishana kususia bidhaa zote za Azam kulipiza vîtendo vya Azam fc kutumia nguvu ya fedha kurubuni wachezaji wake wake muhimu. Waliwataja akina Ngoma, domayo, chirwa, mbui, Ngassa na Sasa Faisal.

Sina uhakika kama Azam fc inapokea maagizo kutoka kwa Mzee bakhressa kwenye Soka au ni viongozi TU wa Azam fc wanaofanya hivyo.

Tatizo ni kwamba ukiikwepa bidhaa ya Azam utakutana na Ile ya mo. Tabu inabakia palepale. Ligi inaonyeshwa Azam tv TU baasi.

Dawa pekee ni:
1. Kuwalipa vizuri wachezaji
2. Kuangalia vizuri vifungu kwenye mikataba ya wachezaji wenu.
3. Kuwashitaki wote wanaowarubuni wachezaji wenu kinyume na utaratibu.

Kuvunja mkataba wa matangazo na kususia bidhaa kutawaumiza sio TU Azam bali hata Yanga na wapenzi wa Yanga wenye ajira Azam..

Hv ni kweli hawahitaji mchezaji yeyote kutoka Simba? Je wachezaji wa Simba hawastahili kucheza Azam? Je kwanini Uto wakiwa imara ndo Azam huanza kujitutumua?

The game is fair play let’s see what’s NEXT
 
Hahaaaa!!!![emoji1787][emoji4][emoji1787][emoji39][emoji24][emoji23]
unanunua mkate wa kula,chapati au andazi kwa mama Side limetengenezwa kwa ngano ya Azam uwezi kujua,hapo tyr ushanunua sehemu ya bidhaa za Azam.ni ngumu kukwepa kwanza masikini hana uchaguzi atakacho kipata anakula au kunywa.

huna kitu alafu unamvimbia mwenye nacho,Azam akiwaandalia mchele wa Basmat wa biriani ya kuku na bahasha za nauli hao wazee wanaenda wanasahau kama kuna Yanga yao[emoji23]

kagua maneno ya Manara kwenye hili sakata hukuti mahala ana wa attack Azam kwa maneno makalk kama alivyokawaida yake,kwanini unajua?,,anakula pesa kule awezi kutoa shombo kwa Azam kwenye hili sakata la Fei.
 
Nimewasikia wanachama na mashabiki wa Yanga wakihamasishana kususia bidhaa zote za Azam kulipiza vîtendo vya Azam fc kutumia nguvu ya fedha kurubuni wachezaji wake wake muhimu. Waliwataja akina Ngoma, domayo, chirwa, mbui, Ngassa na Sasa Faisal.

Sina uhakika kama Azam fc inapokea maagizo kutoka kwa Mzee bakhressa kwenye Soka au ni viongozi TU wa Azam fc wanaofanya hivyo.

Tatizo ni kwamba ukiikwepa bidhaa ya Azam utakutana na Ile ya mo. Tabu inabakia palepale. Ligi inaonyeshwa Azam tv TU baasi.

Dawa pekee ni:
1. Kuwalipa vizuri wachezaji
2. Kuangalia vizuri vifungu kwenye mikataba ya wachezaji wenu.
3. Kuwashitaki wote wanaowarubuni wachezaji wenu kinyume na utaratibu.

Kuvunja mkataba wa matangazo na kususia bidhaa kutawaumiza sio TU Azam bali hata Yanga na wapenzi wa Yanga wenye ajira Azam..
Watatofautishaje na wao hawana akili timamu? Huko Yanga yamejaa mapooza tupu
 
Hv ni kweli hawahitaji mchezaji yeyote kutoka Simba? Je wachezaji wa Simba hawastahili kucheza Azam? Je kwanini Uto wakiwa imara ndo Azam huanza kujitutumua?

The game is fair play let’s see what’s NEXT
Inafahamika kuwa bakhressa ni Simba. unaweza SEMA hii ni vita ya Yanga vs Simba + Azam. Bahati mbaya wote hawaelewi ni kwa vipi wanachapwa wote kwampogo, Last time walimchumua Morrison kwa kusaidiwa na mamlaka, wakati huu ni Faisal. Mwisho wa msimu utaona mambo makubwa. Watawataka kwa nguvu akina diara, Mayele, Aziz, Bangala, job, kibwana wawe wao,
 
Back
Top Bottom