Yanga tuchukue hili la Simba nasi tuwaige. Nimependa wanachofanya hapa.

Nyinyi back cooking spoon hamwezi kujenga familia mnampenda mtu akiwa bado anawacheza akitoka tu mbwa! hata hao kina mnyeto sijui nyeto watapotea shwaaaaa! kama hawakuwahi kugalagala wakimkimbiza eliiiie kibisa! Japo juhudi hazikuwalipa!🀣🀣🀣🀣🀣
 
Nikisom reaction nying za chuki kwa yanga .Kwan yanga haiwaenz wachezaj malegend kwenye mikutano hawaendi hao wachezaji,alf simba je mfano ajibu alikuwa yanga ni nyota ila akakubali kwenda simba kwa sababu binafsi ila what next .amekuwa bado anasapotiwa na viongoz wa yanga kuliko simba hat kwa wachezaj wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…