Team inaongozwa na zubeda na fatuma unategemea nn zaidi ya umandongamakolo hawajawahi kupoa,wakifungwa wameonewa,wakishinda wanajua,wakizidiwa points GSM anaharibu ligi,wakifanya vzr anasifiwa mo wakifanya vibaya wanataka mangungu awaachie timu yao,rage aliwaita mbu3 hao jamaa
Hizi ni akili au matope. Ina maana hata picha huoni?Kwani hapo amefanya Simba au 'huyu huyu ni dada yanguuu anaitwa Fatma'
Sasa hivi GSM ameacha kuharibu ligi yaani mbumbumbu ni mbumbumbu tumakolo hawajawahi kupoa,wakifungwa wameonewa,wakishinda wanajua,wakizidiwa points GSM anaharibu ligi,wakifanya vzr anasifiwa mo wakifanya vibaya wanataka mangungu awaachie timu yao,rage aliwaita mbu3 hao jamaa
Hio podcast ina tofauti gani na ya Denis Nkane?Hizi ni akili au matope. Ina maana hata picha huoni?