Yanga tukatae Uhuni wa GSM huko mbeleni tutajuta

Yanga tukatae Uhuni wa GSM huko mbeleni tutajuta

Tuendelee kuwavumilia kidogo ili kwamba watusaidie kuingia kwenye mfumo wa hisa kama walivo ahidi viinginevyo sioni melekeo wa yanga bila kwenda kwenye mfumo mpya
 
Mm ni mwana simbaaaa., ila GSM ni wahuni mtakuja kulipa gharama za uwekezaji ambazo hazipo, kila mfanyabiashara lazima apate faida ila wao watawatia hasara utopolo wa kihistoria
 
Tuweke unazi pembeni hii ni too risky kwa Yanga. muombe ibaki shwari mpaka dakika ya mwisho. Siku ikizuka vurugu kidogo tu GSM akajitoa sijui itakuweje
 
117719055_1771356753030558_7986888128616862193_n.jpg

Yanga ijifunze kwa Namungo haa haa
 
Issue kubwa ni weledi kwenye club zetu hizi. Ukiwaangalia viongozi wa club zetu hizi hawana nia ya kuzifanya kuwa na tija. Ukiwauliza wanasema shida ni pesa, hivi unakampuni au biashara inayopendwa kama simba na yanga unakosaje hela? Ukiwa na t shirt za kawaida tu 100000, ukaziuza kwa kawaida tu, unakaribia b,Zahera aliwaonyesha pia, watu wanapenda club zao, ukiwaambia wachangie wanachanga. Viongozi wanashindwaje kuleta wachezaji watano bora, wakigeni,nasema bora nikimaanisha bora kutoka ligi bora afrika. Waungane na wazawa bora wakachukua kombe la Africa na hivyo wakapata pesa? Au wakachukuwa vijana wadogo maeneo mbalimbali wakawalea wakawauza? Hivi viongozi gani hawa tulio nao?
 
Mtoa UZI umeandika as if unawajua sana hao uliwaita wahuni. Wakikushitaki kwa kuchafua logo yao kibiashara ? Sijui utamlaumu nqni zaidi ya mdomo wako. Ushauri wangu siki nyingine usitaje jina la kampuni direct unaweza uka twist ata alphabeti walau moja au m iki lkn stil wadau wakaelewa hii inqkuwa inakukinda ww binafsi kwa kiasi badala ya kuropoka tu direct brand za watu kibiashara ndugu
 
Issue kubwa ni weledi kwenye club zetu hizi. Ukiwaangalia viongozi wa club zetu hizi hawana nia ya kuzifanya kuwa na tija. Ukiwauliza wanasema shida ni pesa, hivi unakampuni au biashara inayopendwa kama simba na yanga unakosaje hela? Ukiwa na t shirt za kawaida tu 100000, ukaziuza kwa kawaida tu, unakaribia b,Zahera aliwaonyesha pia, watu wanapenda club zao, ukiwaambia wachangie wanachanga. Viongozi wanashindwaje kuleta wachezaji watano bora, wakigeni,nasema bora nikimaanisha bora kutoka ligi bora afrika. Waungane na wazawa bora wakachukua kombe la Africa na hivyo wakapata pesa? Au wakachukuwa vijana wadogo maeneo mbalimbali wakawalea wakawauza? Hivi viongozi gani hawa tulio nao?
Umeongea vyema. Simba haikosi Japo wanachama 1Mil wa kuchanga 1,000/- monthly. Hii ni exactly 1bil, toa charges za makampuni ya kati (intermediaries) kama Selcom, Tigo, TRA kama wanahusika, hatukosi hata 0.7Bil monthly. Hii ni mbali na Jezi, Skafu, Key holders, etc
 
GSM Waliokuwa Home Shopping Centre ni wahuni toka Serikali ya Kikwete. Hawa tunawafahamu walikuwa wakifanya uhuni kukwepa kodi, baadaye alipoingia Magufuli madarakani walijifanya wamefilisika na kubadili jina luwa GSM.

Ni wahuni toka zamani na wezi wakubwa. Hawa wamekuja ichukua team yetu kinyemela nasi kwa kuwa mzee wetu Akilimali hayupo hai tumeshindwa kulitambua hilo.

GSM wanasajili team yao. Hawasajili team ya Yanga. Wanasajili team yao wakiiweka ndani ya Yanga. Huu ni Uhuni ambao tunapaswa wanayanga kuukemea.

Hakuna mtu anayefahamu kwa sasa viongozi wa Yanga wanahusika na nini. Ni kama GSM imechukua team na kuifanya yao. Tunaomba kama wanaitaka watumie taratibu ionekane ni wawekezaji au basi wainunue tujue moja.

Angalieni wenyewe hata usajili unavyofanyika. Naenda kufanyikia sijui nyumbani kwa anayesajili au sijui qapi ambako huoni hata nembo ya klabu yetu pendwa.

Uhuni wa mikataba walifanya hata kwa Tshishimbi. Walisema amesajiliwa na kurusha videos kumbe hakuwa amesajiliwa. Wameendelea mpaka kugushi barua ya Sure Boy kwenda Azam.

Hawa jamaa hawana nia njema na soka letu. Hawana nia njema na klabu yetu. Kama haki ingetendeka jana kwa suala la Morrison sisi tulitakiwa kunyang'anywa points za mechi zote alizocheza. Kuna watu walitakiwa kushtakiwa kwa kosa la kughushi mkataba.

TFF wameamua kufunika kombe mwanaharamu apite. GSM ni mwanaharamu.


waswahili bana hivi hao mikia unawajua vizuri au ulikurupuka tu kuweka uzi hapa
PSX_20200814_001735.jpg
 
Wewe una mchango upi kwenye timu? achana kauli za kimaskini, mpira ni pesa sio maneno ya kipumbavu
Wewe binafsi..umechangia kiasi gani kwaajili ya usajili wa club yetu pendwa mkuu
Siyo lazima kuchangia hela hata mawazo kama hivi ni mchango tosha,usiabudu hela hela siku zote huwa tamu pale imepatikana au imetumika kwa njia sahihi na matokeo yakaonekana.

Mimi siyo mwana Yanga but ni kweli hawa jamaa wanafanya uhuni na hii club kwa sababu wanazozijua wao na wasipoangaliwa ipo siku watafanya madudu Yanga ikamatwe uchawi na wao waikimbie na itakuwa ni humu humu kwenye mikataba,hivi mnajua hawa kabla ya kujiita Discount Centre wakiitwa Home Shopping Centre na hili jina la sasa walianza kulitumia siku moja kabla Magufuli hajaapishwa?na siyo siku moja coz bango la HsC lilitolewa saa 11 jioni likapachikwa la DC so siku rais anaapishwa DC ni mtoto aliyekuwa na masaa machache tu.

Kwanini walifanya hivi?majibu mnayo!
 
Kama hujui
Ni Bora ukae kimya

HSC ikawa GSM....?!!!!

Ongelea yale unayoyajua Chief
Wewe unachokataa nini?mmiliki wa GSM ni Ghalib mdogo wake Said wa HSC ambayo sasa wanajiita Discount Centre.

Mali za hawa wayemen utazitenganisha kinadharia tu ila in reality ni wale wale wanazunguka humo sometimes kukwepa kodi,GSM ni majina yameungwa ungwa kikawa kitu kimoja kutoka kwa watu wa familia moja.
 
Back
Top Bottom