Yanga tukatae Uhuni wa GSM huko mbeleni tutajuta

Tatizo ni wanachama, wapenzi wana uchungu mkubwa kuliko wanachama lakini wanachama wana uwezo mkubwa wa kubadirisha hivi vilabu lakini wanaangalia maslahi yao binafsi.
Hivi inakuaje jezi za simba na yanga zinauzwa kienyeji badala ya kuuzwa kwenye maduka yanayotambulika. Hapo kuna ujanjajanja unaofanyika ndio maana wameruhusu hivyo.
 
Ukiangalia Simba kumpata Senzo walitangaza ajira watu wakaomba wakachujwa lakini Gsm ameshindwa kutangaza nafasi watu waombe apate mtu anayefaa, ndio maana Simba inaitwa next level maana inachofanya yanga ni kufika pale alipo Simba na sio kufikiria kumpita Simba.
 
Mkuu inawezekana usemalo ni sahihi... But. The reality is yanga wanahitaji mwekezaj mwenye pesa... Bila hilo hakuna litakalofanikiwa yanga zaid ya maneno tu... Duu umasikini unaweza sababisha ukauza hata mkeo ili usiaibike.....
Sawa unachosema ila kusiwe na janja janja basi, maana GSM wanajidai wanaisaidia tuu kuwa club ya kisasa kumbe wameingia na miguu yote kwa mlango wa nyuma. Awe kama Mo apige kistaarabu. Anasajili timu yake, ye ndo mlipa mishaara mkimzingua hamna timu. Wachezaji watiifu kwa GSM sio Yanga.
 
Mikia mnaogopa sana ushindani, tunajua kwamba kila anayehitokeza kuifafhili Yanga lazima muanzishe chokochoko. Safari hii mmeingia choo cha kike
 
Umetumwa na nan aiseeeee
 
Vyema uiache Yanga mjadili mambo yenu huko Mikia.
Mo kawaletea nembo mpya kaondoa msemo Nguvu Moja. Mna tajiri mmoja sio nguvu moja.
 
Nyie ndo mnasababishwa tuitwe nyani au mbwa kwa akili hizi.

Vyema uiache Yanga mjadili mambo yenu huko Mikia.
Mo kawaletea nembo mpya kaondoa msemo Nguvu Moja. Mna tajiri mmoja sio nguvu moja.
 
1: Pale ni jangwani HQ angalia clip ya tuisila na mukoko wakiwa jangwani siku ya mapokezi yao
2: kuhusu utambulisho vipi kuhusu salpong na carinhos
 
Mikia katika ubora wao
 
MO alivyomsainisha Okwi sebuleni kwake ulihoji, MO alivyomuongezea Kagere mkataba chumbani kwake ulilamika

Mbumbumbu Fc mnateseka sana huu mwaka, amini nakwambia tutawanyoosha
 
Kwenye suala hili GSM unawaonea, wa kulaumiwa ni uongozi wa Yanga.
GSM wana makubaliano maalum na uongozi wa Yanga, kama kuna kitu hakiendi sawa ndani ya Yanga waulizeni viongozi wenu kwenye vikao vyenu.
 
MO alivyomsainisha Okwi sebuleni kwake ulihoji, MO alivyomuongezea Kagere mkataba chumbani kwake ulilamika

Mbumbumbu Fc mnateseka sana huu mwaka, amini nakwambia tutawanyoosha

Kwahiyo kwa sasa mko ktk hiyo stage ya “enzi za Mo kumsainisha Okwi na Kagere” ambayo Simba wameshaivuka kitambo?
 
Stage according to who?

Mpo stage ya kuvizia wachezaji wa timu nyingine airport na

Stage ya mmiliki wa timu kuwa hivi

Ni wonder Senzo aliondoka
Kwahiyo kwa sasa mko ktk hiyo stage ya “enzi za Mo kumsainisha Okwi na Kagere” ambayo Simba wameshaivuka kitambo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…