Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Tuisila Kisinda ana miaka 21 anakimbia sana, anakimbia kama Duma. Bado umri unalipa tunamuuza kwa Usd 150,000 na kubembeleza kuwa tugharamiwe Kambi Morocco sababu Simba wameenda huko?
Chama mzee ana miaka 30 Simba wamemuuza kwa usd 500,000 hebu fikiria mwenyewe USD 500,000 Sisi Kisinda Usd 150,000 nazo tunagawana. Yaani tumeambulia tu offer ya kupewa Kambi Morroco kwa kuwa Simba nao wapo huko.
Huu ni udhalilishaji. Ni mikataba ile ile ya Kichief Mangungo wa Msovero. Senzo wewe tulitegemea una uzoefu mkubwa mbona unatuchuuza unapiga cha juu?
MNALIPIWA KAMBI NA WAARABU? MNAKUBALI. YAANI KILA MKILALA NA KUAMKA MNAAMBIWA MMESHALIPIWA?