Yanga tumefanyiwa udhalilishaji mkubwa sana. Naona hata aibu

Subiri msimu utakapoanza, ndipo uulize hili swali.
Nyie nyani wa pori la Utopolo kipindi chenu cha kufurahia ni wakati wa usajili tu,ligi ikianza ni malalamiko mwanzo mwisho.GSM anawageuza geuza kama chapati vile nanyi mnabaki kukenua kenua tu shauri yenu
FB_IMG_1627346909090.jpg
 
Tuisila Kisinda ana miaka 21 anakimbia sana, anakimbia kama Duma.... Bado umri unalipa tunamuuza kwa Usd 150,000 na kubembeleza kuwa tugharamiwe Kambi Morocco sababu Simba wameenda huko?

Chama mzee ana miaka 30 Simba wamemuuza kwa usd 500,000 hebu fikiria mwenyewe USD 500,000 Sisi Kisinda Usd 150,000 nazo tunagawana. Yaani tumeambulia tu offer ya kupewa Kambi Morroco kwa kuwa Simba nao wapo huko.

Huu ni udhalilishaji. Ni mikataba ile ile ya Kichief Mangungo wa Msovero. Senzo wewe tulitegemea una uzoefu mkubwa mbona unatuchuuza unapiga cha juu?

MNALIPIWA KAMBI NA WAARABU? MNAKUBALI. YAANI KILA MKILALA NA KUAMKA MNAAMBIWA MMESHALIPIWA?
Maneno haya ni dalili za mhaho uliopo upande wa Simbilisi. The party is almost over.
 
Tuisila Kisinda ana miaka 21 anakimbia sana, anakimbia kama Duma.... Bado umri unalipa tunamuuza kwa Usd 150,000 na kubembeleza kuwa tugharamiwe Kambi Morocco sababu Simba wameenda huko?

Chama mzee ana miaka 30 Simba wamemuuza kwa usd 500,000 hebu fikiria mwenyewe USD 500,000 Sisi Kisinda Usd 150,000 nazo tunagawana. Yaani tumeambulia tu offer ya kupewa Kambi Morroco kwa kuwa Simba nao wapo huko.

Huu ni udhalilishaji. Ni mikataba ile ile ya Kichief Mangungo wa Msovero. Senzo wewe tulitegemea una uzoefu mkubwa mbona unatuchuuza unapiga cha juu?

MNALIPIWA KAMBI NA WAARABU? MNAKUBALI. YAANI KILA MKILALA NA KUAMKA MNAAMBIWA MMESHALIPIWA?
Wewe subiri kichapo Cha mmbwa mwizi Tarehe 25. Utajuta kuikandia Yanga. Maswala ya bei ya kumuuza mchezaji ni maelewano kati ya club na club
 
Wewe subiri kichapo Cha mmbwa mwizi Tarehe 25.Utajuta kuikandia Yanga.Maswala ya bei ya kumuuza mchezaji ni maelewano kati ya club na club
Kidume kashalipia guest anasubiria demu aende ...safari hii mnatoa nyuma mwiko unaingiza ukuni😂😂😂😂😂
 
Kidume kashalipia guest anasubiria demu aende ...safari hii mnatoa nyuma mwiko unaingiza ukuni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na ninyi huko Morocco msipokaa sawa mtarudi na makipa tu TZ maana hadi Mugalu hatarudi
 
Na ninyi huko Morocco msipokaa sawa mtarudi na makipa tu TZ maana hadi mugalu hatarudi
Kidume kashalipia guest anasubiria demu aende ...safari hii mnatoa nyuma mwiko unaingiza ukuni😂😂😂😂😂
 
Team haifi...tumetumia B21 ndani ya miaka4..Sasa tunataka irudi hiyo hela haraka iwezekanavyo ndani ya muda mfupi😂😂tunajaribu kuona hata kama tunawez kuuza na baadhi ya mashabiki ili tufidie hiyo hela kwa haraka😂😂
yakheeee UTO mmeshalipiwa...
 
Yànga wao walimnunua kiasi gani toka Vita?
 
Tuisila Kisinda ana miaka 21 anakimbia sana, anakimbia kama Duma.... Bado umri unalipa tunamuuza kwa Usd 150,000 na kubembeleza kuwa tugharamiwe Kambi Morocco sababu Simba wameenda huko?

Chama mzee ana miaka 30 Simba wamemuuza kwa usd 500,000 hebu fikiria mwenyewe USD 500,000 Sisi Kisinda Usd 150,000 nazo tunagawana. Yaani tumeambulia tu offer ya kupewa Kambi Morroco kwa kuwa Simba nao wapo huko.

Huu ni udhalilishaji. Ni mikataba ile ile ya Kichief Mangungo wa Msovero. Senzo wewe tulitegemea una uzoefu mkubwa mbona unatuchuuza unapiga cha juu?

MNALIPIWA KAMBI NA WAARABU? MNAKUBALI. YAANI KILA MKILALA NA KUAMKA MNAAMBIWA MMESHALIPIWA?
Chama bei yake mpaka sasa kwa mujibu wa msemaji wao ni siri.
 
Nyinyi ndiyo maana mnaitwa mbumbumbu! Sasa hizo bilioni karibia 3 za kumuuza huyo Chama na Louis ziko wapi?

Au Mwamedi ameshazichukua kama malipo ya uendeshaji wa timu?
Nyinyi ndo mana mnajiita utopolo/utaputapu hivyo wewe huoni hao wachezaji wanaosajiliwa au unadhani wanalipwa majani,,, au wewe ulitaka hizo tugawane mashabiki labda ndo uamini kama zimetumika,, afu mo anawatesa sana uto na yule yupo sana simba
 
Tuisila Kisinda ana miaka 21 anakimbia sana, anakimbia kama Duma. Bado umri unalipa tunamuuza kwa Usd 150,000 na kubembeleza kuwa tugharamiwe Kambi Morocco sababu Simba wameenda huko?

Chama mzee ana miaka 30 Simba wamemuuza kwa usd 500,000 hebu fikiria mwenyewe USD 500,000 Sisi Kisinda Usd 150,000 nazo tunagawana. Yaani tumeambulia tu offer ya kupewa Kambi Morroco kwa kuwa Simba nao wapo huko.

Huu ni udhalilishaji. Ni mikataba ile ile ya Kichief Mangungo wa Msovero. Senzo wewe tulitegemea una uzoefu mkubwa mbona unatuchuuza unapiga cha juu?

MNALIPIWA KAMBI NA WAARABU? MNAKUBALI. YAANI KILA MKILALA NA KUAMKA MNAAMBIWA MMESHALIPIWA?
Point of correction! Acha kumfananisha chama na vitu vya ajabu acha.
Hapo mwishoni ndio umenivunja mbavu wazee wa kulipiwa
 
Nyinyi ndiyo maana mnaitwa mbumbumbu! Sasa hizo bilioni karibia 3 za kumuuza huyo Chama na Louis ziko wapi?

Au Mwamedi ameshazichukua kama malipo ya uendeshaji wa timu?
Yaani ndo umelopoka kama mbwa tena koko. Ko hizo hela ulitaka klabu ije igawe kwa mashabiki ndo ujue hela zipo?
Nasikia mmelipiwa kambi huko Morocco
 
Team haifi...tumetumia B21 ndani ya miaka4. Sasa tunataka irudi hiyo hela haraka iwezekanavyo ndani ya muda mfupi😂😂tunajaribu kuona hata kama tunawez kuuza na baadhi ya mashabiki ili tufidie hiyo hela kwa haraka😂😂
Hahahaaa Kwan Manara kauzwa sh ngap?
 
Tuisila Kisinda ana miaka 21 anakimbia sana, anakimbia kama Duma. Bado umri unalipa tunamuuza kwa Usd 150,000 na kubembeleza kuwa tugharamiwe Kambi Morocco sababu Simba wameenda huko?

Chama mzee ana miaka 30 Simba wamemuuza kwa usd 500,000 hebu fikiria mwenyewe USD 500,000 Sisi Kisinda Usd 150,000 nazo tunagawana. Yaani tumeambulia tu offer ya kupewa Kambi Morroco kwa kuwa Simba nao wapo huko.

Huu ni udhalilishaji. Ni mikataba ile ile ya Kichief Mangungo wa Msovero. Senzo wewe tulitegemea una uzoefu mkubwa mbona unatuchuuza unapiga cha juu?

MNALIPIWA KAMBI NA WAARABU? MNAKUBALI. YAANI KILA MKILALA NA KUAMKA MNAAMBIWA MMESHALIPIWA?
Sikiliza, kwanza elewa yanga walipanga kwenda Misri, waliposikia yanga wanaenda Morroco nao wakageuza wakaenda huko, pili hiyo bei waliyaitaja yanga ni halisi bei ya simba ni feki

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Tuisila Kisinda ana miaka 21 anakimbia sana, anakimbia kama Duma. Bado umri unalipa tunamuuza kwa Usd 150,000 na kubembeleza kuwa tugharamiwe Kambi Morocco sababu Simba wameenda huko?

Chama mzee ana miaka 30 Simba wamemuuza kwa usd 500,000 hebu fikiria mwenyewe USD 500,000 Sisi Kisinda Usd 150,000 nazo tunagawana. Yaani tumeambulia tu offer ya kupewa Kambi Morroco kwa kuwa Simba nao wapo huko.

Huu ni udhalilishaji. Ni mikataba ile ile ya Kichief Mangungo wa Msovero. Senzo wewe tulitegemea una uzoefu mkubwa mbona unatuchuuza unapiga cha juu?

MNALIPIWA KAMBI NA WAARABU? MNAKUBALI. YAANI KILA MKILALA NA KUAMKA MNAAMBIWA MMESHALIPIWA?

Inaweza kuwa zaidi ya hiyo. Pengine kuna tax evasion.
 
Back
Top Bottom