Yanga tumefanyiwa udhalilishaji mkubwa sana. Naona hata aibu

Tuisila Kisinda ana miaka 21 anakimbia sana, anakimbia kama Duma. Bado umri unalipa tunamuuza kwa Usd 150,000 na kubembeleza kuwa tugharamiwe Kambi Morocco sababu Simba wameenda huko?

Chama mzee ana miaka 30 Simba wamemuuza kwa usd 500,000 hebu fikiria mwenyewe USD 500,000 Sisi Kisinda Usd 150,000 nazo tunagawana. Yaani tumeambulia tu offer ya kupewa Kambi Morroco kwa kuwa Simba nao wapo huko.

Huu ni udhalilishaji. Ni mikataba ile ile ya Kichief Mangungo wa Msovero. Senzo wewe tulitegemea una uzoefu mkubwa mbona unatuchuuza unapiga cha juu?

MNALIPIWA KAMBI NA WAARABU? MNAKUBALI. YAANI KILA MKILALA NA KUAMKA MNAAMBIWA MMESHALIPIWA?
We sio yanga we ni Simba acha kutuchezea
 
A national team player
Two times mvp
Top assist
8 premier league gosls
Two medals
Asee unamlinganisha na
Tk master
Title 0
Goals 2
Assist 0
Medals 0
Nationsl team player 😂
 
Tuisila Kisinda ana miaka 21 anakimbia sana, anakimbia kama Duma. Bado umri unalipa tunamuuza kwa Usd 150,000 na kubembeleza kuwa tugharamiwe Kambi Morocco sababu Simba wameenda huko?

Chama mzee ana miaka 30 Simba wamemuuza kwa usd 500,000 hebu fikiria mwenyewe USD 500,000 Sisi Kisinda Usd 150,000 nazo tunagawana. Yaani tumeambulia tu offer ya kupewa Kambi Morroco kwa kuwa Simba nao wapo huko.

Huu ni udhalilishaji. Ni mikataba ile ile ya Kichief Mangungo wa Msovero. Senzo wewe tulitegemea una uzoefu mkubwa mbona unatuchuuza unapiga cha juu?

MNALIPIWA KAMBI NA WAARABU? MNAKUBALI. YAANI KILA MKILALA NA KUAMKA MNAAMBIWA MMESHALIPIWA?
Wachezaji wa mkopo hao. Kisinda hakuwa mchezaji wa Yanga, Wala siyo Yanga wamemuuza.
 
We unabisha nn. Unapokataa hoja unaweka mbadala. Ukisema ni uongo lazima useme ukweli wenyewe ndivyo wenye ubongo wanafanya.
Hapana, unapotoa taarifa lazima uwe na source, maana hakuna taarifa rasmi kutoka Club zote hizo kuhusu kuuzwa kwa hao wachezaji na gharama zao.
 
Back
Top Bottom