Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Hizo figure umezipata wapi? Tuanzie hapo kwanza.Tuisila Kisinda ana miaka 21 anakimbia sana, anakimbia kama Duma.... Bado umri unalipa tunamuuza kwa Usd 150,000 na kubembeleza kuwa tugharamiwe Kambi Morocco sababu Simba wameenda huko...
Nyie ambao hamna Mwamed UBINGWWA LINI?Tulieni mashabiki wa Simba hizo hela za.chama na luiz mwanedi yupo 5* hotel na bi babrah akiwa na bikini TU wanatumbua....
Nyinyi ndiyo maana mnaitwa mbumbumbu! Sasa hizo bilioni karibia 3 za kumuuza huyo Chama na Louis ziko wapi?Tuisila Kisinda ana miaka 21 anakimbia sana, anakimbia kama Duma.... Bado umri unalipa tunamuuza kwa Usd 150,000 na kubembeleza kuwa tugharamiwe Kambi Morocco sababu Simba wameenda huko?....
Subiri msimu utakapoanza, ndipo uulize hili swali.Nyie ambao hamna Mwamed UBINGWWA LINI?
Ongea hii kauli yako mbele ya wale mabeki wenu akina Tshabalala na Babu Onyango, uone watakavyo kutandika vibao!!Ni udhalilishaji wa Hali ya juu Sana kumfananisha CHAMA na TWISILA kisinda[emoji1787][emoji1787]
Yaan ulitakaje?? Upewe ww uzishikeNyinyi ndiyo maana mnaitwa mbumbumbu! Sasa hizo bilioni karibia 3 za kumuuza huyo Chama na Louis ziko wapi?
Au Mwamedi ameshazichukua kama malipo ya uendeshaji wa timu?
Washalipiwa na WaarabuKwahiyo yanga na mashabiki wao waneahalipiwa kila kitu kuanzia kula hadi kulala?