Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ni shabiki wa Simba nilivyoona kile kikosi na jinsu tulivyocheza nkasema kocha tuliye nae ni kocha mkubwa sana kwwnye swala la mbinu sema mashabiki oya oya hawawezi kuliona ilo kisa matokeo ys mwisho yalivyokua
Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
Tatizo kubwa la kocha wa Simba ni sub aliyofanya. Kumtia Kanoute, chama na Kibu. Hawa walikuwa ameubeba mchezo pale Katikati. Kanoute alikuwa anaharibu sana pale Katikati, chama alikuwa anapenyeza. Kibu alikuwa na power, nguvu
Kabisa mi kwa kile kikosi sikutegemea ,nlichojifunza ni wachezaji walicheza kitimuKimsingi kocha kaibadilisha simba kwanza namna inavyopress na spidi imeongezeka tofauti na mwanzo,DM akipatikana na wakiweza kumchezesha yule zungu mashabiki hoyahoya watatulia
Yeah sub ya kanoute ilitokana na kadi yake ile ya njano aliyopata ila kati tulikua tumewazidi...nina uhakika mechi ijayo tunawafungaKanoute substitution ndo ilimaliza game watu wanamlaumu ila alikuwa sahihi kumtoa kwasababu alikuwa na kadi ya njano na angeendelea angepata red card maana alikuwa anafanya makosa na rafu zinazojirudia ila kuwatoa kanoute na mkude ndani ya mda mchache ndo mpira ulibadilika hapo yule kanoute mtu sana akipunguza kucheza rafu atakuwa vizuri ni kama feisal wakati anaanza kucheza yanga alikuwa anacheza rafu kama kanoute.
Shida yako mada ya mbinu na ufundi unataka kuijadili kimahaba. Jaribu kufatilia vyema humu, mimi ni mshabiki wa Yanga niliyeanza kuupenda mpira kabla ya kupenda timu.Simba walifanya uzembe upi? Vp Yanga haikufanya uzembe Simba kupata goli kipindi cha kwanza??
KOLO unajifanya YANGA.
Ww jamaa lini ukawa yanga siku zote ni kuinanga yanga.Shida yako mada ya mbinu na ufundi unataka kuijadili kimahaba. Jaribu kufatilia vyema humu, mimi ni mshabiki wa Yanga niliyeanza kuupenda mpira kabla ya kupenda timu.
Simba waliizidi Yanga kimbinu kipindi cha kwanza chote, Simba wakipoteza mipira walikuwa wanawahi sana kurejea umiliki, pasi zao zilikuwa zinafika, wakapiga mipira mingi ya hatari golini kwa Yanga.
Wachezaji wa Yanga walikuwa hawawezi kufikisha hata pasi kumi mipira mingi ilikuwa inaporwa ama kupiga pasi mbovu. Timu ya Yanga ilizidiwa kipindi cha kwanza na wala sio swala la uzembe. Bahati ya Nabi ni Simba kutopata magoli mengi kipindi cha kwanza.
Ndio maana yake, kwamba ili ufungwe lazima ufanye huo uzembe au makosa.Simba iliizidi Yanga kwa kila kitu katika kipindi cha kwanza. Ni kikubwa ni kiungo ndio kilichozidiwa, pamoja na kwamba watu wanampongeza Nabi kwa kufanya sub lakini kwa upande wangu naweza sema msaada pekee wa Yanga kupata ushindi ni uzembe wa wachezaji wa Simba. Kipindi cha kwanza walipoteana mazima ilipaswa wapate magoli zaidi ya moja na kuumaliza mchezo. Kocha wa Yanga anapaswa ajifunze kuchukua maamuzi ya mapema pindi anapoona mapungufu. Asikariri eti mpaka halftime ndipo uje na plan B ya mchezo
Yanga tulishinda kutokana na uzembe wao wachezaji wa Simba kipindi cha kwanza.
Sasa kama Yanga alizidiwa kipindi cha kwanza kihivyo kwa nini sasa Simba hakupata magoli mengi kipindi hicho basi.Shida yako mada ya mbinu na ufundi unataka kuijadili kimahaba. Jaribu kufatilia vyema humu, mimi ni mshabiki wa Yanga niliyeanza kuupenda mpira kabla ya kupenda timu.
Simba waliizidi Yanga kimbinu kipindi cha kwanza chote, Simba wakipoteza mipira walikuwa wanawahi sana kurejea umiliki, pasi zao zilikuwa zinafika, wakapiga mipira mingi ya hatari golini kwa Yanga.
Wachezaji wa Yanga walikuwa hawawezi kufikisha hata pasi kumi mipira mingi ilikuwa inaporwa ama kupiga pasi mbovu. Timu ya Yanga ilizidiwa kipindi cha kwanza na wala sio swala la uzembe. Bahati ya Nabi ni Simba kutopata magoli mengi kipindi cha kwanza.
Acha upimbi wewe, sasa nani alitakiwa kujifunza kwa mwenzake pale? AZIZ KI peke yake alitengeneza Chance za magoli 4 ambapo 1 ilikuwa goli, 2 Mayele alikosa, na moja Morrison alikokota kubwa.Shida yako mada ya mbinu na ufundi unataka kuijadili kimahaba. Jaribu kufatilia vyema humu, mimi ni mshabiki wa Yanga niliyeanza kuupenda mpira kabla ya kupenda timu.