Yanga tumelala kipindi hiki cha usajili

Yanga tumelala kipindi hiki cha usajili

Utasajilije kabla ya kupata kocha, maana yake hao ni wachezaji wa Mzee Mangungu na MUDDY
 
Duh hadi Chama kaka Mhasibu?
Mkuu najua unaelewa maana ya kawaida. Sio mtu wa kushtua, ndio maana hata sisi tumemshukuru kwa sababu atatoa gap la kusajili mashine ya kazi zaidi yake. Labda yanga wamemsajili kwa sababu zingine ila kuhusu kiwango kwa pesa zile wangepata mashine kali yenye speed zaidi yake
 
Yanga anaboresha kikosi, Simba anaunda kikosi.
First 11 ya Yanga yote ipo.
Na hapa ndipo tofauti ilipo. Viongozi walishasema kitambo wachezaji wote muhimu watabakishwa kikosini, halafu wataongezwa wachezaji wachache tu wazuri kwa ajili ya kufidia mapungufu yaliyojitokeza msimu uliomalizika.

Kwa hiyo tuwaache wadogo zetu wajenge kikosi chao, halafu tuone kama kitawaletea matokeo chanya msimu huu, au mambo yataendelea kubakia pale pale! Maana kila msimu wamekuwa wakifanya hivi, lakini mwisho wa siku wanaangukia pua.
 
Na usajili wa Balele mtaoufanya ndio utakuwa usajili wa kwanza kwa damu changa maana ana 23

Naskia middle yenu Khalid Aucho (43) mpo kwenye mkakati wa kumuongezea mkataba wa miaka 2.

Wakati huo Skudu (34) naskia mnampa mkono wa kwa heri.
Hivi shughuli ya Aucho unaifahamu kweli wewe awapo uwanjani!! Kwa mfano kwenye timu yako ya simba unaweza kumlinganisha na nani?
 
Back
Top Bottom