Blueprint 9
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 798
- 1,381
Kimbumbumbu sanaUkikomenti kwenye Uzi WA kimbumbu unakuta we ni juha kabisa, ungepigwa kimyaa, lkn sindano imekuingia ndo maana ukaweka comment yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kimbumbumbu sanaUkikomenti kwenye Uzi WA kimbumbu unakuta we ni juha kabisa, ungepigwa kimyaa, lkn sindano imekuingia ndo maana ukaweka comment yako
Nyoosha maelezo wewe mtopolo,sema GSM ameuza jezi siyo YangaMlikuwa mnamdanganya Nani?
Vaeni hizo jezi Milioni moja SASA mlizonunua, Asilimia kubwa mmevaa Old model, au walionunua jezi hawajaja Uwanjani?
Wamenunua jezi halafu wakaziacha nyumbni, hlf wakaamua kuvaa za zamani?
Yanga waongo hata hao wachezaji walowaleta wamewadanganya WAO NDO MABINGWA MSIMU WA NNE MFULULIZO hahahahaaaMlikuwa mnamdanganya Nani?
Vaeni hizo jezi Milioni moja SASA mlizonunua, Asilimia kubwa mmevaa Old model, au walionunua jezi hawajaja Uwanjani?
Wamenunua jezi halafu wakaziacha nyumbni, hlf wakaamua kuvaa za zamani?
Ujinga mtupu, kwani jezi ni ticket yakuingia uwanjani? jifunze kuandika vitu venye maana.Mlikuwa mnamdanganya Nani?
Vaeni hizo jezi Milioni moja SASA mlizonunua, Asilimia kubwa mmevaa Old model, au walionunua jezi hawajaja Uwanjani?
Wamenunua jezi halafu wakaziacha nyumbni, hlf wakaamua kuvaa za zamani?
Mbumbumbu katika ubora wakoMatukio na Picha:
Hizo asilimia 5% pia umewaongezea! Ukweli ni kwamba waliovaa Jezi za Vibwengo mpya hawazidi asilimia 1%.
Wameshaanza kudai zimeuzwa Mikoani labda Dar wamegoma kuvaa Vibwengo.
Haya sasa Manyani yameingia na Mijezi ya Zamani.
View attachment 1914923View attachment 1914924View attachment 1914925View attachment 1914931
Kama wamechaza uwanja.. inatosha sana.. the rest is bullshitMlikuwa mnamdanganya Nani?
Vaeni hizo jezi Milioni moja SASA mlizonunua, Asilimia kubwa mmevaa Old model, au walionunua jezi hawajaja Uwanjani?
Wamenunua jezi halafu wakaziacha nyumbni, hlf wakaamua kuvaa za zamani?
Ukiwa mmoja unaitwa #KOLOMlikuwa mnamdanganya Nani?
Vaeni hizo jezi Milioni moja SASA mlizonunua, Asilimia kubwa mmevaa Old model, au walionunua jezi hawajaja Uwanjani?
Wamenunua jezi halafu wakaziacha nyumbni, hlf wakaamua kuvaa za zamani?
Sukule wewe...nilitaka ukubaliUnaanzisha uzi huu halafu unajiona una akili kolo wewe.
Hujui kuwa jezi nyingi zimeenda mikoani.?
Basi hatujauza..
Ahsante Sana mkuu, umeutendea Haki Uzi huuMatukio na Picha:
Hizo asilimia 5% pia umewaongezea! Ukweli ni kwamba waliovaa Jezi za Vibwengo mpya hawazidi asilimia 1%.
Wameshaanza kudai zimeuzwa Mikoani labda Dar wamegoma kuvaa Vibwengo.
Haya sasa Manyani yameingia na Mijezi ya Zamani.
View attachment 1914923View attachment 1914924View attachment 1914925View attachment 1914931
Hahahaha...umekereka ukiwa pande zipi we sukule?Ujinga mtupu, kwani jezi ni ticket yakuingia uwanjani? jifunze kuandika vitu venye maana.
Kumbe unajua zimeisha, basi zilikuwa buku mwanza, siyo milion we sukuleWewe matako una kaa mwanza ipi? GSM hapo Nela jezi zilikuwepo zimeisha
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Punguza jaziba BP isije kwibukia kwa roho ya korosho [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Matukio na Picha:
Hizo asilimia 5% pia umewaongezea! Ukweli ni kwamba waliovaa Jezi za Vibwengo mpya hawazidi asilimia 1%.
Wameshaanza kudai zimeuzwa Mikoani labda Dar wamegoma kuvaa Vibwengo.
Haya sasa Manyani yameingia na Mijezi ya Zamani.
View attachment 1914923View attachment 1914924View attachment 1914925View attachment 1914931
Kwahiyo hujui uhusiano wa kuvaa Jezi na kuingia uwanjani sio?Kuna uhusiano gani kati ya kununua jezi na kwenda uwanjani?