Yanga tumeuza jezi milioni 1 ndani ya siku moja, lakini wanaoingia uwanjani ni 5% tu wenye jezi mpya

Mlikuwa mnamdanganya Nani?

Vaeni hizo jezi Milioni moja SASA mlizonunua, Asilimia kubwa mmevaa Old model, au walionunua jezi hawajaja Uwanjani?

Wamenunua jezi halafu wakaziacha nyumbni, hlf wakaamua kuvaa za zamani?
Nyoosha maelezo wewe mtopolo,sema GSM ameuza jezi siyo Yanga
 
Unaanzisha uzi huu halafu unajiona una akili kolo wewe.
Hujui kuwa jezi nyingi zimeenda mikoani.?

Basi hatujauza..
 
Matukio na Picha:

Hizo asilimia 5% pia umewaongezea! Ukweli ni kwamba waliovaa Jezi za Vibwengo mpya hawazidi asilimia 1%.

Wameshaanza kudai zimeuzwa Mikoani labda Dar wamegoma kuvaa Vibwengo.

Haya sasa Manyani yameingia na Mijezi ya Zamani.

VIBWENGO FC (1).jpg
VIBWENGO FC (2).jpg
VIBWENGO FC (4).jpg
VIBWENGO FC (3).jpg
 
Mlikuwa mnamdanganya Nani?

Vaeni hizo jezi Milioni moja SASA mlizonunua, Asilimia kubwa mmevaa Old model, au walionunua jezi hawajaja Uwanjani?

Wamenunua jezi halafu wakaziacha nyumbni, hlf wakaamua kuvaa za zamani?
Yanga waongo hata hao wachezaji walowaleta wamewadanganya WAO NDO MABINGWA MSIMU WA NNE MFULULIZO hahahahaaa
 
Mlikuwa mnamdanganya Nani?

Vaeni hizo jezi Milioni moja SASA mlizonunua, Asilimia kubwa mmevaa Old model, au walionunua jezi hawajaja Uwanjani?

Wamenunua jezi halafu wakaziacha nyumbni, hlf wakaamua kuvaa za zamani?
Ujinga mtupu, kwani jezi ni ticket yakuingia uwanjani? jifunze kuandika vitu venye maana.
 
Mlikuwa mnamdanganya Nani?

Vaeni hizo jezi Milioni moja SASA mlizonunua, Asilimia kubwa mmevaa Old model, au walionunua jezi hawajaja Uwanjani?

Wamenunua jezi halafu wakaziacha nyumbni, hlf wakaamua kuvaa za zamani?
Kama wamechaza uwanja.. inatosha sana.. the rest is bullshit
 
Mlikuwa mnamdanganya Nani?

Vaeni hizo jezi Milioni moja SASA mlizonunua, Asilimia kubwa mmevaa Old model, au walionunua jezi hawajaja Uwanjani?

Wamenunua jezi halafu wakaziacha nyumbni, hlf wakaamua kuvaa za zamani?
Ukiwa mmoja unaitwa #KOLO
 
Umeanza lini kufuatilia soka?! Ingekuwa watu wananunua jezi exclusively kwa ajili ya kuvaa uwanjani basi jezi za timu za nje zisingeuzika! Hivi hata Makorokoro FC wanapocheza, unataka kusema wote wanaoingia uwanjani wanakuwa wamevaa jezi zenye picha za Da Barbara?! Ina maana hujui kuna Makorokoro kibao wanakuwa mtaani na hawajawahi kuingia taifa lakini bado wamenunua jezi!
 
Mna anzisha uzi kisha mnajijibu wenyewe, wivu tu unawasumbua, hapa ndiyo nashituka kumbe mnafuatilia.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom