Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huenda nikaambulia matusi lakini huo ndio ukweli wenyewe. Ni vigumu Sana kumpata kocha mwenye kiwango cha Zahera ambae anafundisha national team ya taifa ambalo liko mbele kwenye mpira kuliko Tanzania. Congo sio wajinga hata kidogo kumtumia Zahera kuifundisha timu Yao ya Taifa.Ngoja wanakuja Gongowazi wenzio.
Kama wewe ni baba na unafamilia na unakuwa na mawazo kama haya......jitafakari sanaKama tumeweza kumrudisha Lamine kikosini sio vibaya kumrudisha Zahera. Kimichezo mapungufu ya Zahera ni madogo kuliko mazuri yake.
Hatutajuta kama tutamrejesha Zahera kikosini.
Mkuu sorry,kwani makosa ya zahera ni nini?Huenda nikaambulia matusi lakini huo ndio ukweli wenyewe. Ni vigumu Sana kumpata kocha mwenye kiwango cha Zahera ambae anafundisha national team ya taifa ambalo liko mbele kwenye mpira kuliko Tanzania. Congo sio wajinga hata kidogo kumtumia Zahera kuifundisha timu Yao ya Taifa.
Makosa ya Zahera yanafahamika na yanavumilika. Uwezo wa Zahera kashauonyesha kwetu kuwa anaweza pamoja na kufundisha wachezaji waliokuwa na manung'uniko mengi ya fedha zao na stahiki zao mbalimbali.
Huenda nikaambulia matusi lakini huo ndio ukweli wenyewe. Ni vigumu Sana kumpata kocha mwenye kiwango cha Zahera ambae anafundisha national team ya taifa ambalo liko mbele kwenye mpira kuliko Tanzania. Congo sio wajinga hata kidogo kumtumia Zahera kuifundisha timu Yao ya Taifa.
Makosa ya Zahera yanafahamika na yanavumilika. Uwezo wa Zahera kashauonyesha kwetu kuwa anaweza pamoja na kufundisha wachezaji waliokuwa na manung'uniko mengi ya fedha zao na stahiki zao mbalimbali.
Labda baadae....kama kuna uhitaji wake, kwa sasa atafute timu nyingine yy bado ni kocha bora..Kama tumeweza kumrudisha Lamine kikosini sio vibaya kumrudisha Zahera. Kimichezo mapungufu ya Zahera ni madogo kuliko mazuri yake.
Hatutajuta kama tutamrejesha Zahera kikosini.
Bahati mbaya au nzuri rekodi za Mh. Mkwasa za ufundishaji kabumbu tunazo na zinafahamika, maana alikuwepo na yupo sasa. Alifundisha Yanga na hata Timu ya taifa bila kuacha rekodi ya kupigiwa mfano. Wote ni mashahidi wakati Zahera alipokuwa akihangaika na akina Kakolanya, Yondani, Dante na wangine na kuinusuru timu kuangukia nafasi 2 kwenye ligi. Katika hali kama ile wallah kama kocha angekuwa mtu wa kawaida tu timu ingeshuka darajaKama wewe ni baba na unafamilia na unakuwa na mawazo kama haya......jitafakari sana
Aende 5imba wanako mwitaji. Kwa Yanga ilishatoka hiyo.Kama tumeweza kumrudisha Lamine kikosini sio vibaya kumrudisha Zahera. Kimichezo mapungufu ya Zahera ni madogo kuliko mazuri yake.
Hatutajuta kama tutamrejesha Zahera kikosini.
Anzisha timu then Zahera yupo available kabisa utampata,we wachezaji aliokuja nao Zahera na kuwasajili msimu huu uliwaona au game plan ya Zahera ulikuwa unaona timu inachokifanya?Bahati mbaya au nzuri rekodi za Mh. Mkwasa za ufundishaji kabumbu tunazo na zinafahamika, maana alikuwepo na yupo sasa. Alifundisha Yanga na hata Timu ya taifa bila kuacha rekodi ya kupigiwa mfano. Wote ni mashahidi wakati Zahera alipokuwa akihangaika na akina Kakolanya, Yondani, Dante na wangine na kuinuru timu kuangukia nafasi 2 kwenye ligi.
Hata wewe mwenyewe unafahamu kuwa anadanganya, Zahera kapoza mechi moja na kutoa sare mechi moja sawa na Simba yenye kikosi kipanda na jeuri ya fedha pia imepoteza mechi moja na kutoka sare moja, hiyo punzi aliishiwa lini? Zahera alicheza mechi kadhaa za champion league tofauti na Simba waliotolewa mechi ya kwamnza tu na UD Songo. Wewe kaka utaishi maisha mabaya sana hasa kwa uongo. Molinga kaletwa na Zahera na ndiye tegemeo la Mkwasa sasa, au huoni?Anzisha timu then Zahera yupo available kabisa utampata,we wachezaji aliokuja nao Zahera na kuwasajili msimu huu uliwaona au game plan ya Zahera ulikuwa unaona timu inachokifanya?
Kisa Zahera alikuwa anatoa hela zake ndiyo abaki tu hata kama ubora hauonekani uwanjani?
Bora tuwe hata wa kumi,ila Zahera aliishiwa pumzi kabisa
Kama hujui mm ni mmoja wa watu waliokuwa wanamtetea Mwinyi Zahera,achana na hizo story zako za Simba haziihusu yanga,kwanza alianza kujiona yupo juu ya timu,baada ya afcon badala ya kuja kuandaa timu akaenda kwao wakati alijua mashindano yamebadirika,amekuja kwenye mechi za ushindani kwa kubahatisha tukaitoa rollers.Kumleta Molinga ndiyo excuse ya kuendelea naye?Hata wewe mwenyewe unafahamu kuwa anadanganya, Zahera kapoza mechi moja na kutoa sare mechi moja sawa na Simba yenye kikosi kipanda na jeuri ya fedha pia imepoteza mechi moja na kutoka sare moja, hiyo punzi aliishiwa lini? Zahera alicheza mechi kadhaa za champion league tofauti na Simba waliotolewa mechi ya kwamnza tu na UD Songo. Wewe kaka utaishi maisha mabaya sana hasa kwa uongo. Molinga kaletwa na Zahera na ndiye tegemeo la Mkwasa sasa, au huoni?