Yanga tumuombee Simba afuzu makundi... Itakua faida kubwa sana kwetu

Yanga tumuombee Simba afuzu makundi... Itakua faida kubwa sana kwetu

Mr mutuu

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2023
Posts
2,869
Reaction score
14,501
Ukiachana na kelele za makolo watakazotupigia mtaani ila mi naona ni heri wafuzu, Hawa wydad sio watu wazuri sana wakifuzu kimagumashi wanaweza kucharuka wakafanya maajabu( rejea Yale ya ivory coast afcon)

Hawa asec, Simba, mazembe, es Tunis, Petro Luanda tunawamudu vizuri sana.... Hawa tuombee tu tusikutane na mamelodi robo fainali(maana Al ahly hatuwezi kutana nae tupo kundi Moja)

Simba hata akifuzu tukikutana nae tutambonda tu ..
 
Simba anafuzu kwa juhudi zake sio kwa maombi yenu.
Hizi kazi Simba anazimdu, tatizo lake hana kikosi cha kumvusha ili afike nusu au final.
 
Back
Top Bottom