Yanga tunaomba Wasabato mashabiki wachinjiwe ng'ombe, ngamia ni haramu kwa Wasabato.

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Yanga Ili kuwa na timu jumuishi ya mashabiki wote ni vyema mahitaji ya makundi yote ya washabiki ikiwemo Wasabato kuzingatiwa katika kipindi hichi cha kusherehekea ubingwa. Kutoa supu ya ngamia tu kunawanyima fursa mashabiki wasabato wasiokula ngamia kwani ni haramu kwao, ni vyema wao wakachinjwa ng'ombe kufurahia ubingwa wa kihistoria wa timu yao.
 
Yanga Ili kuwa na timu jumuishi ya mashabiki wote ni vyema mahitaji ya makundi yote ya washabiki ikiwemo Wasabato kuzingatiwa katika kipindi hichi cha kusherehekea ubingwa. Kutoa supu ya ngamia tu kunawanyima fursa mashabiki wasabato wasiokula ngamia kwani ni haramu kwao, ni vyema wao wakachinjwa ng'ombe kufurahia ubingwa wa kihistoria.
vipi kuhusu sisi marastafarian?,enhee vipi kuhusu wale mashabiki wanaoabudu ng'ombe wale wahindi.
 
Yanga Ili kuwa na timu jumuishi ya mashabiki wote ni vyema mahitaji ya makundi yote ya washabiki ikiwemo Wasabato kuzingatiwa katika kipindi hichi cha kusherehekea ubingwa. Kutoa supu ya ngamia tu kunawanyima fursa mashabiki wasabato wasiokula ngamia kwani ni haramu kwao, ni vyema wao wakachinjwa ng'ombe kufurahia ubingwa wa kihistoria wa timu yao.
Hata sie tusiokula nyama tupewe kipaumbele.

Napendekeza ipikwe supu ya matembele.
 
Yanga Ili kuwa na timu jumuishi ya mashabiki wote ni vyema mahitaji ya makundi yote ya washabiki ikiwemo Wasabato kuzingatiwa katika kipindi hichi cha kusherehekea ubingwa. Kutoa supu ya ngamia tu kunawanyima fursa mashabiki wasabato wasiokula ngamia kwani ni haramu kwao, ni vyema wao wakachinjwa ng'ombe kufurahia ubingwa wa kihistoria wa timu yao.
We SEMA una hamu ya nyama!
 
Yule 5imba aliechinjwa juzi tunaomba tupewe sisi tunaokula nyama.
 
Back
Top Bottom