Tupo wengi mkuuHakuna shabiki wa Yanga Muhindu
vipi kuhusu sisi marastafarian?,enhee vipi kuhusu wale mashabiki wanaoabudu ng'ombe wale wahindi.Yanga Ili kuwa na timu jumuishi ya mashabiki wote ni vyema mahitaji ya makundi yote ya washabiki ikiwemo Wasabato kuzingatiwa katika kipindi hichi cha kusherehekea ubingwa. Kutoa supu ya ngamia tu kunawanyima fursa mashabiki wasabato wasiokula ngamia kwani ni haramu kwao, ni vyema wao wakachinjwa ng'ombe kufurahia ubingwa wa kihistoria.
lete ushahidiHakuna shabiki wa Yanga Muhindu
Na sisi tusiokula nyama tuchinjiwe matembele ama spinachi tule tujimwaemwae...😂Na sisi wa Hinduism kula ng'ombe ni haramu, tuchinjiwe kuku
dadek 😀Rastafarian mpewe kijiti mpulize.
Hata sie tusiokula nyama tupewe kipaumbele.Yanga Ili kuwa na timu jumuishi ya mashabiki wote ni vyema mahitaji ya makundi yote ya washabiki ikiwemo Wasabato kuzingatiwa katika kipindi hichi cha kusherehekea ubingwa. Kutoa supu ya ngamia tu kunawanyima fursa mashabiki wasabato wasiokula ngamia kwani ni haramu kwao, ni vyema wao wakachinjwa ng'ombe kufurahia ubingwa wa kihistoria wa timu yao.
We SEMA una hamu ya nyama!Yanga Ili kuwa na timu jumuishi ya mashabiki wote ni vyema mahitaji ya makundi yote ya washabiki ikiwemo Wasabato kuzingatiwa katika kipindi hichi cha kusherehekea ubingwa. Kutoa supu ya ngamia tu kunawanyima fursa mashabiki wasabato wasiokula ngamia kwani ni haramu kwao, ni vyema wao wakachinjwa ng'ombe kufurahia ubingwa wa kihistoria wa timu yao.
Sawa Mkuu watachinja nyama ya ng'ombe!Nyama ya ng'ombe