Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Nimezipata kuwa kuna watu wetu wanaangalia namna ya kumfanya Manara awe msemaji wa Yanga. This is bullshit. Yaani kama kuna jambo la kipumbavu kupata tokea duniani na matusi kwa wanayanga ni hili la kumtegemea manara.
Simba nliwashauri waachane na msemaji kilaza,mbumbumbu asiye jielewa. Wamechelewa sana lakini at least.
Manara ni mswahili ambaye hakupata Elimu na Malezi mazuri. Ukimsikia tu anavyoongea utagundua hilo. Mimi nlimchukia si kwa sababu yupo Simba na anatukashifu sisi Yanga. Ila kwa sababu alikuwa anaupelekea ushabiki sehemu mbaya.
Huyu tusije dhani atatufaaa mtu kama huyu ni time bomb anytime anaweza lipuka na kuongea upuuzi wake. Najua ana mashabiki lakini ni aina ya wale wasiojielewa. Wenye akili hawawezi mkubali manara.